EJM_
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 3,836
- 2,091
Nakushukuru kwa kunileta tena kwenye jukwaa hili kwa mara nyingine,
Maana ni muda sasa umepita nilikuwa kwenye majukwaa mengine,
Tabu ni kwamba leo niko busy kuliko siku nyingine,
Pamoja na kuwa na kazi mchana bado tena nimeongezewa kazi zingine,
Sina uhakika kama ni kazi tu au wanataka leo isiwe kama siku zingine,
Hata hivyo yote heri, vipi hali zenu wa hapa na hata wale wa kwingine,
Kwa wale wote mnaonijua na hata wale wageni wengine,
Nilikuwepo hapa nikahama na kwenda majukwaa mengine,
Nikaahidi kuwa nakuja hapa kuwacheki na kuwapa hi mara nyingine,
Kama ninavyofanya leo na nitakavyofanya siku nyingine,