Dear God - Chris Brown

Dim Ray

JF-Expert Member
Dec 15, 2019
317
250
Habari za mda wana jamvi, natumai mapambano dhidi ya mvamivi Corona yanaendelea tena kwa ufasaha mkubwa .

Leo baada ya kuperuzi playlist yangu nimeibuka na ngoma ya mnyamwezi Breezy , inayoitwa Dear God nimejikuta tu nakenua meno. Beat, melody na Message ambayo ipo humu ndank ni hot🔥.

Ni ngoma nzuri inachezeka hasa kwa wale watu wa kuvunja(Slow shakers) na dancers wapenda mikogo. Hata kwa sisi tusioweza kucheza kwenye umati, ngoma inasapoti kutikisa kichwa na mguu either wa kushoto au wa kulia in a rythmical way na kutamka maneno pendwa tuliyokalili. Breezy ain't a nigger who is there to battle he be KING.

N0TE: Sina time na mapovu uchwara
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom