Dear alcohol

Thats my girlie:hippie::hippie::hippie::hippie:....Roya na Kimey usiwasikilize. Watu wabaya sana wale.

sawa love,vipi wakiniita kunipa ujumbe wako?maana wakati mwingine nitaplay part ya secreatary sas itakuwaje hapo?
 
Nimeishasema sitaki kumuona mtu kwa Mama B otherwise watu wataanza kuchezea BAN.

Mbona sheria yenu no 3 inaruhusu?una udikteta ungekuwa chair mbona chama lingevunjika kila mtu awe na lake,ila ingesaidia plan b

Kumbuka pia kuhusu afya yako na ratiba za mama big
 
Mbona sheria yenu no 3 inaruhusu?una udikteta ungekuwa chair mbona chama lingevunjika kila mtu awe na lake,ila ingesaidia plan b

Kumbuka pia kuhusu afya yako na ratiba za mama big

Kwa sasa ile Sheria inanihusu mimi na Mama B tu and not the other way around, kuhusu afya ninampa soseji na mayai mawili kila siku
 
Kwa sasa ile Sheria inanihusu mimi na Mama B tu and not the other way around, kuhusu afya ninampa soseji na mayai mawili kila siku

Na hizo sausage mpaka apanue mdomo kwa kila cku mbona tutakupoteza kwa tamaa zako!na hilo ulilolisema hapo mwenyekiti wako analijua?ndo maana wenzio wanalalamika but will bring good impact to the other side
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom