Deals from u.s.a

Anayehitaji vitu kama iPads, tabs, smart phones na gadgets za namna mbali mbali ani pm au accoment hapa. Nipo USA next week nakuja Bongo nataka nije na kamzigo ka hivyo vitu kutoka jikoni kwa ukweli.

Karibuni wakuu.

Kaka,
Kuna vitu gani vingine unataka kuja navyo bongo tuambie tujue kabla hatujasema uje navyo
 
WAKUU WOTE WALONI PM, NIMENOTE KILA KITU NA MLIOANDIKA HAPA, NITAWAJIBU KILA MTU this weekend
 
hapo kwenye nyeusi,unaonekana we si muungwana..kulikuwa kuna haja gani kutumia lugha mbaya hivyooOO!!!!
MSIMUAMI8NI HUYU NI TAPELI KAMA WALE WA UBUNGO.... usa,, bongo???!!!
Join Date : 4th May 2012

Posts : 7

Rep Power : 302

Likes Received: 0

Likes Given: 1



Naona unaongeza idadi ya posts kwa kuandika pumba, punguza mapepe dogo.
 
Kaka, ninakuuliza je hata kitabu unaweza kuniletea cha kurasa kama 600?
Nijibu ili nikutajie ni kitabu gani?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom