Deal jipya kwa mahakama za kibongo na RITA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Deal jipya kwa mahakama za kibongo na RITA

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Inkoskaz, Jul 25, 2012.

 1. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Affidavit..Hati ya kiapo
  nipo mahakamani kuhakikisha napata hati yang ya kiapo kuonyesha nimezaliwa mwezii wa 7 mwaka 1957!!
  nikitoka hapa nikachukue chet changu RITA.
  Tusiulizane how i look like or why this..kwani nyinyi ushahidi muutakao si vielelezo vyangu?

  Kesho najaza form za claim...full stop!!
   
 2. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Mwenzenu mkubwa mimi
   
 3. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,017
  Likes Received: 3,202
  Trophy Points: 280
  Mafao yanatolewa kwa kutimiza miaka 55 ya kufanya kazi na sio miaka ya kuzaliwa.
   
 4. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #4
  Jul 25, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  kwa hiyo kakajambazi ukianza kazi na 21 unastaafu ukiwa na 76.
   
 5. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #5
  Jul 25, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  kama wewe unajua sio miaka yako unaapa uongo na unastahili kifungo
  kaka jambazi acha porojo ni miaka ya kuzaliwa na sio ya kazi
   
 6. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #6
  Jul 25, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,184
  Likes Received: 565
  Trophy Points: 280
  Unaapa uwongo aise
  Hapo deal wanasheria wamepata deal la kutengeneza affidavit za kuwarukisha watu miaka
  Inatakiwa kuonekana tuu nimefikisha miaka hamsini na tano hata kama naonekana nina miaka ishirini vile
   
 7. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #7
  Jul 25, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,017
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  We can not solve the probleam of this country kwa kutoa vitambulisho vya uraia, kuna mambo mengi sana ya msingi kama kununua x-ray machine kwa vituo vya afya kwa hilo fungu la vitambulisho...binafsi naona ni ulaji mwingine kwa wakubwa...
   
 8. Ndukidi

  Ndukidi JF-Expert Member

  #8
  Jul 25, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 821
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  Kakajambazi kweli uelewa wako kwa hili ni wa kutukuka!!! hebu fikiria ulichosema hapo....
   
 9. Clarity

  Clarity JF-Expert Member

  #9
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 6, 2010
  Messages: 810
  Likes Received: 327
  Trophy Points: 80
  mie nimeamua nife halafu next of kin akadai Macao yangu(si nnakufa kiuongoongo Halafu naenda kuchukua death certificate basi)
   
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  Jul 25, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,872
  Likes Received: 6,222
  Trophy Points: 280
  hahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.............

  nakutakia mafao mema ya nssf/ppf..............

  mwezi ujao na mie naenda kuapa wallahiiiii
   
 11. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #11
  Jul 26, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Lokisa hii sheria bila miongozo kwa umma ni shida kueleweka
   
 12. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #12
  Jul 26, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Kama Lulu anaweza kupandisha umri aau kushusha wakati wowote kulingana na shida aliyonayo na kwa msaada wa wanasheria au loopholes zilizopo kwenye mamlaka zetu why not me!
   
 13. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #13
  Jul 26, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  tusubiri regulations
  na hata hivo regulations haiwezi kwenda kinyume na Act yenyewe ni nyongeza tu au maelekezo
  wabunge walishachemka na isitoshe wao wanapokea mafao yao wakimaliza kwao sio shida.
  naamini sasa bunge letu limejaa vilaza bora tungeweka machinga mjengoni wangebuni maisha mapya kuliko hao waliopo

  wa
   
 14. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #14
  Jul 26, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  vitmbulisho vyenyewe wangekuwa wanpewa wabongo kweli lakini wanapewa migrants kibao...hizo travelling passport kwa mtz ni issue kuwa nayo
  vitambulisho vya kura tu ni tatizo pia...watu kibao wamenyimwa au wanavyo lakini wananyimwa kupiga kura...improper records matching.refer issue ya Mbatia kule Kawe
  kila siku kuna watu wanturn 18, kuna wanaokufa,kuna wanaohama vituo vya kazi,shule,biashara,kufuata family nk
  hivyo daftari la moiga kuraMUST BE A 24/7 HOUR OFFICE Open to people to register and update informations
   
 15. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #15
  Jul 26, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Huyu mkuu nadhani ana uwezo wa kuishi miaka 150
   
 16. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #16
  Jul 26, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Mbona tutajiua wengi mwaka huu
   
 17. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #17
  Jul 26, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Wahi mkuu kabla affidavit hazijapanda bei
   
 18. Ndukidi

  Ndukidi JF-Expert Member

  #18
  Jul 27, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 821
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  Ama kwa hakika, kama ingekuwa hivyo sijui ingekuwaje?!! Ufanye kazi miaka 55, yaani watu wangeingia na machela kwenye vikao vya bodi kama kina Kingunge.
   
 19. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #19
  Jul 27, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  well said
   
 20. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #20
  Jul 27, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Futa kauli yako
   
Loading...