Deadly grenade attack in Kigali

babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
13,045
15,901
Deadly grenade attacks rock Kigali, state radio reports

Deadly grenade attacks rock Kigali, state radio reports
kigali_m.jpg

Three simultaneous grenade attacks on a train station, a restaurant and an office building in the Rwandan capital of Kigali on Saturday killed one person and injured about 18 others, according to a state radio report. By News Wires (text)

AFP - One person was killed and 18 injured in three simultaneous grenade attacks on public places in the Rwandan capital Kigali, national public radio said on Saturday.

Five of the injured were in a serious condition following the attacks on a train station a restaurant and a building housing city centre businesses.

No arrests had been made and no official reaction was issued following the attacks on Friday evening, Radio Rwanda added.

Rwanda is due to hold presidential polls in August at which President Paul Kagame is widely expected to seek and secure re-election.

Kagame, who heads a Tutsi-led government, has been in power since the end of the 1994 genocide by extremist Hutus of around 800,000 people, mostly Tutsis and moderate Hutus.

Earlier this month, the New York-based Human Rights Watch (HRW) condemned the harassment of political opposition figures in Rwanda saying they faced increasing "threats, attacks and harassment" ahead of the poll.

The group cited an incident in which Joseph Ntawangundi -- a member of the FDU-Inkingi, a new opposition party critical of government policies -- was attacked in front of a local government office.

"The attack appeared to have been well coordinated, suggesting it had been planned in advance," HRW said.

Ntawangundi has since been jailed after being sentenced in absentia in 2007 to 19 years by a gacaca court, one of the grassroots tribunals set up to try the perpetrators of the genocide.
 
Geez! Hawa wasianze tena mambo yao, kule Burundi nako kuna uchaguzi June, 2010 nasikia vurumai za Wahutu na Watutsi zimeshaanza kidogo kidogo. Nchi hizi sidhani kama zitakuja kuwa na amani ya kweli kutokana na chuki za kutisha za makabila haya mawili katika nchi zote mbili.
 
yaah ni kweli mpaka sasa wamekamata interahamwe wawili.
 
Solution: move all Hutus to one country, say Burundi and all Tutsis to Rwanda.
And let them live happily ever after
 
Ajabu ya majirani zetu hawa, haya makabila mawili Watutsi na Wahutu si kama makabila yetu ya Tanzania, mfano Wahehe na Wahaya ambao wanatoka maeneo tofauti yaani mikoa ya Iringa na Bukoba na wanazungumza lugha asili tofauti yaani Kihehe na Kihaya, ukiwaweka pamoja hawana msuguano kwani wote ni Watanzania.Wenzetu hawa ni makabila mawili tu tena yanayozungumza lugha moja yaani Kunyarwanda kwa Rwanda au Kirundi kwa Burundi, hakuna lugha ya Kitutsi au Kihutu, na wala hakuna kabila lenye mkoa au mikoa yake. Kila mahali uendako wamechanganyika. Lakini uhasama baina yao ni wa asili na hauishi. Inasemekana Wabelgiji walichangia kwa kiasi kikubwa uhasama huu kwa sera zao za kikoloni za "divide and rule"
 
Solution: move all Hutus to one country, say Burundi and all Tutsis to Rwanda.
And let them live happily ever after
haitasaidia watafuatana hata huko wakauane,uhasama uliopo baina ya hawa jamaa hakuna solution mpaka kabila moja litakapo ua lingine mpaka waishe na ndio idea yao,inasikitisha
 
Kama wameanza ya mabomu tena!! na wanaelekea uchaguzi, Afrika ya mashariki kazi ipo.
Nasema kazi ipo kwa sababu ukiangalia Kenya wali moto mchuzi moto! Uganda hakueleweki, Haya sasa Rwanda na Burundi na wote wanaelekea kwenye uchaguzi hatari tupu.

Nchi ambayo kidogo imetulia kwa matukio yasio na mabomu ukiondoa yale ya mbagala ni Tanzania pekee, hivi hiyo Afrika mashariki itakalika kweli? Ninavyoona hawa jamaa wanaweza kuanzishiana hata wakikutana huku Tanzania. Na bomu ni kama mtego wa panya, hapa tunajiombea zali tusubiri tuone!!

Naamini kuna mambo mengi yanatakiwa yafanywe kabla ya kukimbilia hii jumuia ambayo kwangu mimi sioni aliyekusudiwa kufaidika hasa ni nani.
 
kufaidika watafaidika hao wanaopigana i,e tuliojiunga nao kwani wote watahamia tanzania baada ya machafuko huko kwao,ndio hasa lilikua dhumuni la wao kung,ang,ania jumuiya.
 
kufaidika watafaidika hao wanaopigana i,e tuliojiunga nao kwani wote watahamia tanzania baada ya machafuko huko kwao,ndio hasa lilikua dhumuni la wao kung,ang,ania jumuiya.
Sasa kwanini sisi hatuogopi na kuchukua hatua na badala yake tumekazania kana kwamba kuna kitu tuta gain kutokana na kuungana na wote hawa?
Kimantiki naona ni sisi pekee tulichonacho cha kupoteza kuanzia hii amani ya kishkaji iliyopo hadi ardhi.
 
Hizo isolated incidents zipo nchi zote,Rwanda ndio nchi pekee EA ambayo una uhakika police hawezi kukuomba rushwa ...Kigali is safe kuliko miji mikubwa yote EA!
 
Hizo isolated incidents zipo nchi zote,Rwanda ndio nchi pekee EA ambayo una uhakika police hawezi kukuomba rushwa ...Kigali is safe kuliko miji mikubwa yote EA!
Kaka/dada tunazungumzia mabomu sio rushwa !! Hiyo inapaswa kuwa mada nyingine kabisa nadhani utapenda ipewe title ya "HAKUNA RUSHWA KIGALI" Ni utabiri tu.
 
Kagame anatafuta namna ya kuharass wapinzani,serikali yake inahusika hapa..
 
Back
Top Bottom