De La Boss Haji Manara-Star Mkubwa kuwahi kutokea katika soka

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,080
103,308
20210201_12355953983.jpg
20210201_12351485360.jpg

Afisa habari wa Simba SC Haji Manara maarufu kama De La Boss ni moja kati ya watu maarufu sana katika michezo kwa sasa.

Haji sio tu ni maarufu katika michezo bali ametokea katika familia ya mpira, kingine kilichomfanya Haji Manara kuwa maarufu sana ni hali yake ya kujiamini zaidi ukilinganisha na hali yake ya ulemavu wa ngozi ‘Albino’ ambapo wengine huwa wanajitenga na kuhisi kama ndio basi tena kwenye haya maisha.

Baba mzazi wa Haji Manara anasema kijana wake alianza kujiamini tangia utotoni na amewahi kumletea mashekh nyumbani na kumuamsha na kumshitaki kwa mashekh kuwa baba yangu mimi hasali.

Kwa jicho langu Haji Manala sio tu analiweka soka kwenye ushindani mkubwa bali amekuwa star wa kwanza kuvuma sambamba na mastar wa entertainment huku yeye akitokea upande wa soka. Leo hii ndani ya dakika 10 kurusa mitandao za Haji huwa na comments zaidi ya 200 pale anapopasha habari.

Hongera semaji la dunia. Nakutakia maisha marefu
 
Ukiwa shabiki wa simba hata MO akipiga chafya unasifia. Manara umaarufu wake umekuzwa na jerry muro hasa ule ushindani wao,utani kejeli na ufasta wa manara kukasirika wanapomjibu makavu bila kujali hali yake huwa anakimbilia kulalamikia unyanyapaa
 
Inaonekana humjui MANARA WEWE! .. wakati manara anafanya Analysis ya world cup 2002 kwenye TV.. huyo Muro hata utapeli wa kutumia bunduki alikuwa hajaanza!
 
Mbona hujataja wakati akiwa mwalimu wa madrasa. Umaarufu wa manara umewaka enzi za muro akiwa yanga. Kuna kujulikana na kuwa maarufu. Yanga imempaisha sana manara mpaka Mo akaingilia kati kumpiga stop. Msemaji wa simba atajazaje habari za yanga kuliko timu yake.

View attachment 1691595View attachment 1691596

Afisa habari wa Simba SC Haji Manara maarufu kama De La Boss ni moja kati ya watu maarufu sana katika michezo kwa sasa.

Haji sio tu ni maarufu katika michezo bali ametokea katika familia ya mpira, kingine kilichomfanya Haji Manara kuwa maarufu sana ni hali yake ya kujiamini zaidi ukilinganisha na hali yake ya ulemavu wa ngozi ‘Albino’ ambapo wengine huwa wanajitenga na kuhisi kama ndio basi tena kwenye haya maisha.

Baba mzazi wa Haji Manara anasema kijana wake alianza kujiamini tangia utotoni na amewahi kumletea mashekh nyumbani na kumuamsha na kumshitaki kwa mashekh kuwa baba yangu mimi hasali.

Kwa jicho langu Haji Manala sio tu analiweka soka kwenye ushindani mkubwa bali amekuwa star wa kwanza kuvuma sambamba na mastar wa entertainment huku yeye akitokea upande wa soka. Leo hii ndani ya dakika 10 kurusa mitandao za Haji huwa na comments zaidi ya 200 pale anapopasha habari.

Hongera semaji la dunia. Nakutakia maisha marefu
Sio manala ni manara
 
Mbona hujataja wakati akiwa mwalimu wa madrasa. Umaarufu wa manara umewaka enzi za muro akiwa yanga. Kuna kujulikana na kuwa maarufu. Yanga imempaisha sana manara mpaka Mo akaingilia kati kumpiga stop. Msemaji wa simba atajazaje habari za yanga kuliko timu yake.
.Inaonekana wewe ndo humjui vzr Manara umaarufu na kijulikana kwake vilikuwepo Tangu Muro SEMA muro aliongeza Ushindani zaidi ila swala la Umaarufu Kujulikana Vilikuwepo
 
Mimi na pumbuli ooh sorry bumbuli watoto km hao tunawaona kwenye video
 
Ofkozi sababu ya kelele zakekwa yanga. Na ndio point ya mleta mada maana insta ya juzi juzi tu hapa
.Inaonekana wewe ndo humjui vzr Manara umaarufu na kijulikana kwake vilikuwepo Tangu Muro SEMA muro aliongeza Ushindani zaidi ila swala la Umaarufu Kujulikana Vilikuwepo
 
Mbona hujataja wakati akiwa mwalimu wa madrasa. Umaarufu wa manara umewaka enzi za muro akiwa yanga. Kuna kujulikana na kuwa maarufu. Yanga imempaisha sana manara mpaka Mo akaingilia kati kumpiga stop. Msemaji wa simba atajazaje habari za yanga kuliko timu yake.
Duuh sijategemea kumbe na soka unalimudu vizuri ivi....
 
Mbona hujataja wakati akiwa mwalimu wa madrasa. Umaarufu wa manara umewaka enzi za muro akiwa yanga. Kuna kujulikana na kuwa maarufu. Yanga imempaisha sana manara mpaka Mo akaingilia kati kumpiga stop. Msemaji wa simba atajazaje habari za yanga kuliko timu yake.
Manara alikuwa maarufu toka anatapeli magari na kumuweka mama yake bond
 
Back
Top Bottom