De La Boss Haji Manara-Star Mkubwa kuwahi kutokea katika soka

Haji Manara ni maarufu toka siku anazaliwa na mchezaji maarufu ambaye ni Baba yake anayeitwa Sunday Manara,Wakaji Haji anazaliwa,nchi ilijua kua Sunday manara kapata mtoto wa kiume,

Umaarufu wa Haji umeongezeka kutokana na kukua kwa teknolojia ya mawasiliano,ni kweli Haji ana ushawishi na hii ni "Inborn talent"
 
Sio hivyo ule ualibino wake pia umempa faida sana,ukweli haji yuko juu sana kwenye usemaji
 
Hivi kweli Manara kazaa na Mama Diamond....huku mtaani watu wanasema eti Esma ni mtoto wa Manara. Mwenye kujuwa hizi habari atufafanulie jamani, this is too much kwa Mama Diamond sasa.
 
Ukiwa shabiki wa simba hata MO akipiga chafya unasifia. Manara umaarufu wake umekuzwa na jerry muro hasa ule ushindani wao,utani kejeli na ufasta wa manara kukasirika wanapomjibu makavu bila kujali hali yake huwa anakimbilia kulalamikia unyanyapaa

Duh, Ama kweli chuki zingine bwana.
 
Umeshasema hupendi kupangiwa cha kupost basi na mie nimefanya ninachopenda,ukianzisha uzi lazima ukutane na post unazozitaka na usizozitaka. Umeweka dislike nimekuita mjinga kila mmoja ana haki ya kufanya apendacho
duuh,kwani dislike maana yake nini?kwani dislike ni tusi?sijapenda comment yako,kwani lazima kila mtu apende ulichoandika? kwani dislike ni mpaka utukane? haaa haaa una akili ya kufikiria zaidi ya hapo
 
Umeshasema hupendi kupangiwa cha kupost basi na mie nimefanya ninachopenda,ukianzisha uzi lazima ukutane na post unazozitaka na usizozitaka. Umeweka dislike nimekuita mjinga kila mmoja ana haki ya kufanya apendacho
nilichojifunza leo kumbe na wewe ni mmoja wa wapuuzi waliojaa humu JF,nimechelewa kujua
 
Sababu wewe ni mjinga ndo maana umechelewa kujua
1612260268002.jpg

nilichojifunza leo kumbe na wewe ni mmoja wa wapuuzi waliojaa humu JF,nimechelewa kujua
 
Wewe unamjuaje kama siyo maarufu ,utopolo mmekuwa wajinga mno kupinga kila kitu
naachaje kumjua na nimesoma bandiko linamuhusu ama hili bandiko limemtaja nani aliye waoita mbumbumbu hakukosea
 
Tinashukuri jerry muro (mkuu wa wilaya kwa sasa) alimpaisha huyu manara ndie mritbi wa kiti cha usemaji na anakitendea kazi fresh tu
 
Back
Top Bottom