De La Boss Haji Manara-Star Mkubwa kuwahi kutokea katika soka

Eti huyu ndio manara jr enzi zilee?
2362149_FB_IMG_1583148338368.jpg
 
View attachment 1691595View attachment 1691596

Afisa habari wa Simba SC Haji Manara maarufu kama De La Boss ni moja kati ya watu maarufu sana katika michezo kwa sasa.

Haji sio tu ni maarufu katika michezo bali ametokea katika familia ya mpira, kingine kilichomfanya Haji Manara kuwa maarufu sana ni hali yake ya kujiamini zaidi ukilinganisha na hali yake ya ulemavu wa ngozi ‘Albino’ ambapo wengine huwa wanajitenga na kuhisi kama ndio basi tena kwenye haya maisha.

Baba mzazi wa Haji Manara anasema kijana wake alianza kujiamini tangia utotoni na amewahi kumletea mashekh nyumbani na kumuamsha na kumshitaki kwa mashekh kuwa baba yangu mimi hasali.

Kwa jicho langu Haji Manala sio tu analiweka soka kwenye ushindani mkubwa bali amekuwa star wa kwanza kuvuma sambamba na mastar wa entertainment huku yeye akitokea upande wa soka. Leo hii ndani ya dakika 10 kurusa mitandao za Haji huwa na comments zaidi ya 200 pale anapopasha habari.

Hongera semaji la dunia. Nakutakia maisha marefu
ofkozi nikawaida yetu yanga kuwanoa madogo kama kina manara na morrison then tunawapea huko simba bure kabisa ili mjitaidi angalau na ninyi katim kenu simba walau kaonekanemo kamo.
Sisi Yanga ndo timu ya taifa lazma tutoe misaada kwa tim ka Simba.
 
Jamaa Tz haijawahi kuwa na mwanamichezo maarufu ktk soka was kufikia viwango vya edibil Jonas lunyamila
 
Siku hizi hatumii hiyo aka ya de la boss....mwenyewe anajiita bughatti...biashara ya perfume za de la boss ilikufaga kifo cha mende...walitaka kumpiga akashituka..yule mtoto wa kariakoo mjanja sana kudadadeki zake!..
 
Back
Top Bottom