DDD kwa combination ya HGE

baada ya kutemwa ndio akili itakuja kichwani sasa hivi bado mnataka kwenda UDSM kuwaoshea wenzenu chuo chenyewe cha kizamani hicho basi tu ushamba wenu vijana.
Cha kizamani lakini ndo kinachoongoza kwa ubora hapa Tanzania,
 
Ww HGE na hizo D3 kwa Bsc ANEB udsm sahau Ana hao waliowekwa hapo n makadirio tyu....Ila admsion capacity not more than 150...kwa ss tupo 98...wanahitaj watu waliofau zaidii...sio cuting point intake yetu last person kuchaguliwa alikuwa na point 9...mean C3 bora uombe sua udsm im sure hutopata
 
Shida ya wanafunzi wengi mnataka kusoma kwa show off, mnang'ang'ania course zilizowazidi vigezo, mtu anang'ang'ana asome UDSM au SUA wakati matokeo mabovu.

Bad enough umesoma HGE, hesabu hukusoma bado unataka course za science, are you serious? ,ww wa HGE ungesoma BBA,BAEC etc ungefanya vzur zaidi.
Bro mm nimesoma BAM
 
Habar zenu wakuu? Hvi kwel naweza kwenda kusoma Udsm kwa dv 2 ya 12 especially coz ya Bachelor of Science in Agricultural and natural resources economics and business administration?
Ukisoma TCU guide book utajua mengi kuhusu vigezo unavyotakiwa kuwa navyo ili uweze kusoma hiyo course, jaribu kutafuta hicho kitabu utajua mengi.

NB. Usiombe chuo kwasababu ulikuwa na ndoto za kusoma kwenye hicho chuo ilihali huna sifa na vigezo, utapoteza hela yako.
 
Apply SUA Bachelor of science in Agriculture Economics and Agribusiness fanya kuwahi tu mapema first round wakat majority waliokuwa wanasoma ili wafike DAR wana upuuzi wao bado, HGE Bsc AEA unapiga fresh tu ma lecture wa SUA wako vzur utakuwa vizuri tu ukitia juhudi na nidham,
NB: kuna mtu anaitwa HESLB na COMPETITION wakwanza ka mfuko mrefu haina shida ila huyo wa pili n independent na amefanya weng waache kusoma sio tu walivyotaka pia na walivyostahili na kwenda ambapo wamepata nafasi hata kama hayakuwa machaguo ya kwanza ya pili na hata ya tatu
 
Nashkuru mkuu kwa uxhaur wko, God bless you n G9t
 
Back
Top Bottom