Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,462
- 39,928
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmhhh!!! Mwanakijiji hiyo picha ya mtu anataka kuchomwa moto? Nimeacha hata kuangalia hicho kijigazeti. Hata kama ni mwizi, hatutakiwi kwenda njia hiyo!
njia ya kuweka kwenye kijigazeti au njia ya kuchoma moto watu?
Hatutakiwi kuchoma moto watu.
Nakubaliana na wewe kabisa, lakini kwanini tunafikia mahali kumchoma mtu moto kwa kukwapua? Adhabu kama hiyo inaendana kweli na kosa lenyewe? Na hawa wanaotoa tuhuma (wanaolia mwizi) na ambao ndio wanaotoa hukumu (achomwe moto) na ambao wanatekeleza hukumu hiyo (kuweka matairi na kuni shingoni) kwanini jamii inawavumilia? Sijasikia hata siku moja kuwa fulani ame/wamekamatwa kwa kumchoma mtu aliyedaiwa kuwa ni kibaka?
Nakubaliana na Nyani, Miafrika ndivyo ilivyo!
nadhani huwa anasema "ndivyo tulivyo" in whatever case it includes you and me!