Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,010
- 9,875
Kwa mujibu wa DCEA kifaa cha Shisha ni halali kwa matumizi ya tumbaku lakini Shisha ni hatari zaidi kwa afya kwani kwa mujibu wa tafiti ni kuwa unapovuta Shisha kwa muda wa saa moja ni sawa na kuvuta wastani wa sigara 100 hadi 200
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imesema ongezeko la wimbi la watumiaji wa Shisha umesababisha madhara makubwa kwa jamii, baada ya baadhi watumiaji kuanza kutumia kifaa hicho kuchanganya na dawa haramu za kulevya tofauti na matumizi rasmi ya kifaa hicho
"Wasichana wanavuta bangi kuliko wavulana hasa kuanzia umri wa vurugu kati ya miaka 15 - miaka 20. Na wasichana wamekuwa wakishawishiwa na marafiki zao wa wa kiume(boyfriends)" Florance Khambi, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa Za Kulevya
Clouds Media - Twitter