K
Brother kwenye biashara ya fixed deposit kwenye bank kubwaa 300m ni hela ya kawaida sana haitaji hata kuomba approval kutoka kwa Retail Director hii rate HOD wa retail ndo anaamua na rate yake haiwezi zidi 6% ni 5.5% hapoEither hujanielwa, au hujasoma maelezo vizuri niliyoyaandika.. ushawahi kuweka iyo fixed ya 300M ukapewa izo 3% ndani ya mwaka?pengine hujui fixed ni account maalumu na zinamature kutokana muda na rates zinatofautiana na muda unaotaka kuweka na kama hujui hii negotiation huwa inatokea mteja na bank ...then ukarukia kwenye utapeli it's better ufanye utafiti wako vizuri lkn sio kukulupuka kuwa ni matapeli