DC Wilaya ya Siha, Onesmo Buswelu matatani kwa kumpigia kampeni mgombea wa CCM

Hakuna kosa DC kumpigia Kampeni Mgombea wa Uchaguzi cha Msingi asitumie Mamlaka yake kumnufaisha Mgombea Fulani

Uchaguzi wa Liberia Rais Sirleaf alikuwa anamsaidia Mpinzani wake wa Zamani George weah japo wanatoka Vyama tofauti na lilikuwa kosa Kisiasa sio kisheria
Ndiyo maana sir learf kafukuzwa chamani
 
Nec na madc ni pipa na mfuniko wote ni makada na wapiga debe wa ccm...alishasema hao anawalipa mshahara kwahiyo lazma wafanye yeye atakalo
 
Hakuna kosa DC kumpigia Kampeni Mgombea wa Uchaguzi cha Msingi asitumie Mamlaka yake kumnufaisha Mgombea Fulani

Uchaguzi wa Liberia Rais Sirleaf alikuwa anamsaidia Mpinzani wake wa Zamani George weah japo wanatoka Vyama tofauti na lilikuwa kosa Kisiasa sio kisheria
d5d3d4225c7b609b598ede4f98300b29.jpg
 
Je Tume ya UCHAGUZI mnasemaje juu ya alichokifanya DC Wa Siha cha kumpigia KAMPENI Mgombea Wa CCM?
 
Acheni Visingizio vya Kike!
Mmeamua kwa hiyari yenu wenyewe kususia uamuzi wenu wa kususia Uchaguzi so pambaneni sio kulia lia
 
yule askari aliyepiga picha na mh. mbowe... nakumbuka alifukuzwa sababu alijihusisha na ushabiki wa kisiasa...

inawezekana kushabikia ccm kwa mtumishi wa serikali ni huru kisheria....
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom