Dc wa korogwe asweka watendaji wa halmashauri ya wilaya ya korogwe polisi. Je ni haki?

alisha mweka ndani bwana usafi
na bado hazijui sheria vizuri
mfano ukiingia ofisini kwake ameweka picha ambayo katika picha hiyo yupo Mrisho, Kikwete amebeba mtoto (inaonekana mtoto wa mrisho) na mdada (inaonekana mke wa mrisho) sina uhakika kama sheria za utumishi wa uma zinaruhusu hilo
Eng. Swai kuwekwa ndani ni kulipiza kisasi kwani chanzo chake ni hiki
Mrisho aliomba landcruiser hardtop gari ya program ya maji STK 7414 kwa ajili ya shughuli zake; gari ambalo lipo chini ya mkurugenzi na linasimamiwa na DWE ambaye ndio eng. Swai,
Eng. Swai alikuwa na matumizi ya ofisi na gari hilo ila akaacha kutekeleza kazi za ofisi na aliamua kumpa gari kama hiyo haitoshi mrisho akaomba tena mafuta kwa swai, swai alimpa mafuta kupitia idara ya maji ila alimwambia ukweli Mrisho tena kwa maandishi kuwa asingependa kuombwa tena gari wala mafuta kwani anashindwa kutekeleza majukumu yake. Baada ya mrisho kupewa maneno makavu alimwambia utaona na kilichotokea ni kutekeleza maneno yake na ndio maana tunaona sababu ya kumweka ndani haina maana.
Eng. Swai kwa wasiomfaham ni jasiri, anajiamini, ameokoka, mrefu, ameshiba, asiyeweza kuficha hisia zake na anapiga chuma
 
Huyu DC siku ya kwanza tu aliporipoti moja kwa moja kwa wananchi na kuanza na kasha za maneno nilijua tu kuna litakalokuja kumfika.
Uvulana mwingi na sifa za kijinga. Ngoja tuone ila hata kwenye vikao vyake na watendaji na wakuu wa idara, haonyeshi kuwa ana upeo na dhamana aliyopewa wala adabu binafsi.
 
alisha mweka ndani bwana usafi
na bado hazijui sheria vizuri
mfano ukiingia ofisini kwake ameweka picha ambayo katika picha hiyo yupo Mrisho, Kikwete amebeba mtoto (inaonekana mtoto wa mrisho) na mdada (inaonekana mke wa mrisho) sina uhakika kama sheria za utumishi wa uma zinaruhusu hilo
Eng. Swai kuwekwa ndani ni kulipiza kisasi kwani chanzo chake ni hiki
Mrisho aliomba landcruiser hardtop gari ya program ya maji STK 7414 kwa ajili ya shughuli zake; gari ambalo lipo chini ya mkurugenzi na linasimamiwa na DWE ambaye ndio eng. Swai,
Eng. Swai alikuwa na matumizi ya ofisi na gari hilo ila akaacha kutekeleza kazi za ofisi na aliamua kumpa gari kama hiyo haitoshi mrisho akaomba tena mafuta kwa swai, swai alimpa mafuta kupitia idara ya maji ila alimwambia ukweli Mrisho tena kwa maandishi kuwa asingependa kuombwa tena gari wala mafuta kwani anashindwa kutekeleza majukumu yake. Baada ya mrisho kupewa maneno makavu alimwambia utaona na kilichotokea ni kutekeleza maneno yake na ndio maana tunaona sababu ya kumweka ndani haina maana.
Eng. Swai kwa wasiomfaham ni jasiri, anajiamini, ameokoka, mrefu, ameshiba, asiyeweza kuficha hisia zake na anapiga chuma
Ingawa ni stori toka upande mmoja lakini natambua kwamba kwa kiwewe cha CCM kuwavutia vijana,bila maandalizi na mafunzo wamewapatia vijana wengi madaraka na matokeo wanapwaya sana!! Angalia kuanzia akina Mwigulu, Nape na hawa akina Gambo ni vurugu tupu! CCM wanashindwa kutambua kwamba kutokana na mfumo wao mbovu hawana uwezo wa kupata vijana wenye vipaji kama John Mnyika, Zitto, Mdee, Machalii, Kafulila,nk! Tatizo jingine hawana chuo ama mahali ambako wanawapatia mafunzo ya uongozi vijana wao. Wengi wa vijana wa CDM tunaowaona leo wamelelewa na chama,wanaendelea kupata mafunzo ya uongozi na wengi wamepita ktk siasa za ushindani kweli kabla ya kufika hapo walipo. Kwa hiyo huwezi walinganisha na hawa wanaolishwa kwa kijiko!
 
wafu wanazikana wenyewe.... watendaji wengi wakubwa kwenye halmashauri ndio wanaokwamisha mageuzi kwa kushabikia ulaji ulio kwenye mfumo wa sasa

wawekane tu ndani, mambaff zao
 
Tumesikia upande wako hatujasikia upande wa DC.

Kwa kifupi, sasa hivi hakuna kuchekeana. Na huyo DC si mjinga, anajuwa anachokifanya, atamweka ndani kwake? si lazima kampeleka polisi? na wanaomuweka ndani ni polisi si dc. Andika vizuri.
 
Mimi nafanya kazi Halmashauri ole wake DC ajitie kimbelembele na ujinga wake kuwa niwekwe ndani bila kosa la jinai.itakula kwake muda huo huo.
 
Wamwaga Mapovu Mlitakaje na DC Analinda Kibarua chake na huo Ubadhirifu mwataka Upite katika Mikono yake huku Mkichekelea tu mumuite *****? Mrisho Piga kazi... Japo na wewe ni Memba Humu Usijibu kitu au Tuma Private Niwamwagie kuwa Wakae Chonjo na wengine sasa wajue hutaki Michozo waliyozoea...

DC Aliwaambia Polisi Wamuhoji... na akijichanganya Polisi hawaoni sababu ya Kumtia Ndani... Lazima Watu Muwe na Heshima kazini sio Umuone DC ni kijana basi ulete Uzee wako ili uende kinyume na Sheria...

Ningekuwa mimi ningemuambia Shikamoo LAKINI katoe maelezo vizuri kwa Polisi waridhike sihitaji harufu ya Rushwa wala Wizi
 
Ndio shida ya kuwachagulia wananchi DC na RC. Katiba hii imeshapitwa na wakati. DC na RC wanatakiwa wachaguliwe kwa kura za wananchi wenyewe na sio rais kuwachagulia. Iko siku raisi atawachagulia hata wake!
 
Mrisho ni kijana asiyetaka uzembe na ubabaishaji.Sasa kinachowatesa huko nyie wanafiki ni kufanya kazi kiuzembe na kiupumbavu wacha mfunzwe adabu.Go Mrisho nyoosha hiyo mijitu.
 
Back
Top Bottom