Peter Dafi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 389
- 272
Mkuu wa Wilaya Mteule wa Kinondoni amekuwa na kikao na Mkurugenzi Mkuu wa Clouds Media Group Bw. Ruge Mutahaba.
Pia Alipewa nafasi ya kusalimia kwenye kikao cha Management ya Clouds.
Kikubwa Zaidi DC wa Kinondoni Ameandaliwa Sherehe ya kupongezwa na Akakataa Sherehe hiyo na kuwaomba Garama hizo za Sherehe kwa maana ya Chakula na Vinywaji Wachangie Madawani kwa wilaya ya Kinondoni.
Kisha alipata wasaa wakuzungumza ktk Kipindi cha Leo Tena.
Na Baadae Jioni ktk Jahazi atakuwapo Live akifanyiwa mahojiano.