Kaveli
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 5,120
- 8,140
Sio tu kuchapa viboko, aliwahi kuzusha kuna mmiliki wa mabasi anahujumu miundombinu ya reli, akaamuru akamatwe.. Badae polisi wakagundua ni uzushi, jamaa akaachiwa..
Hii ilikua mbinu yake pale aliootaka kupiga mtu hela kwa lazima..
Ni jambazi fulani anayetumia cheo chake kuibia watu.
Ajiandae kujiajiri.
-Kaveli-