Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,606
- 1,956
Wadau.
Unaweza kusema kuwa haijapata Kutokea.
DC wa Hai Mhesh Ole Sabaya ameamua kuingia front na kufanikiwa kumnasa live Kigogo na Mkazi Bomang'ombe Wilayani Hai amna noti bandia zenye thamani ya Shilingi Milion 13.
Uongozi wa Vitendo.
Hongera Mhesh Sabaya.
----
Mkuu Wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya amemkamata kijana Richard Mtui Mwenye Mtandao Wa Fedha bandia akiwa na fedha bandia kiasi cha shilingi Million 11 kati ya Million 60 ambazo zilikua zikisambazwa katika Maduka ya Fedha katika Mji Wa Boma Gombe.
Sabaya amegundua Mtandao huo Mara baada ya kumwekea Mtego kwa Richard kwa muda Wa wiki mbili Mara baada ya kupata taarifa za wananchi kutapeliwa na kupewa Fedha bandia.
Sabaya amesema mchezo huo Wa kubadilisha Fedha bandia kwa Fedha halali katika Wilaya Hai umekua ukishika kasi na baadae kulifanyia kazi kwa kushirikiana na kamati ya ulinzi na usalama.
Amesema kwamba Richard amekua akifika katika Maduka ya Mpesa na kuweka Fedha bandia kwa mawakala na kuondoka na Fedha alali na tayari wamesha sambaza kiasi cha shilingi Million 60 katika mji Mdogo Wa Boma Gombe Wilayani hapo
Mkuu huyo Wa Wilaya amemtaka Ocd kuakikisha mara baada ya mtuhumiwa huyo kukamatwa na kufanyiwa maojiano ya kina anataja mtandao wote ambao amekua akishirikiana nao kutapeli wananchi katika Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha wanakatwa.
Amewataka mawakala wote Mara baada ya kupatikana kwa mtandao huo kufika Ofisini kwake kuwatambua na baadae hatua za kisheria zichukuliwe ikiwa ni pamoja na kutambua Fedha walizo tapeliwa .
Richard amekua akisambaza Fedha bandia kwa shilingi Million 1 amekua akilipwa shilingi laki 3 wakifanikiwa kusambaza kwa mawakala uduma za kuweka na kutoa Fedha
Ataivyo Mtuhimiwa uyo Amekiri kujiusisha na biashara ya Fedha bandia akisema kwamba amepewa kusambasa na boss wake awwze kujipatia kipato