DC Tabora ahairisha kilele cha siku mazingira kwa kukosa wahudhuriaji

Kingo

JF-Expert Member
May 12, 2009
855
390
Mkuu wa wilaya tabora imebidi ahairishe killele cha siku ya mazingira duniani kilichofanyika leo duniani na nchini kote baada ya wananchi kutohudhuria. Alikuta tu viongozi wa CCM na viongozi wengine wa serilkali.
Kilele hicho kitaadhimishwa siku ya tarehe 14 Juni kwa wilaya ya Tabora. - TBC
 
Watu wamechoka na Majambazi wa CCM walijue hilo na wasome alama za nyakati
 
duh!! Niliiona hii! Lakini jamani msiwe mnailaumu sana TBC, kwani hii haikuwa habari njema kwa serikali lakini imeonyeshwa!
 
Hivyo hiyo trh 14 june watawatoa wapi hao wahudhuriaji? au ndo walijisahau kuwakodishia magari kwani ninavyojua kutoka Tabora mjini mpaka tumbi ni mwendo kidogo, Au watahamishia uwanja wa chipukizi............................................. any way watu wamechoka na siasa za magamba
 
Back
Top Bottom