DC Simalenga: Yule binti hakupigwa kama inavyosimuliwa, nilimpa warning. Nilitaka kumpiga nikamshika Mkono akaomba Msamaha!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,826
141,738
Mkuu wa wilaya ya Songwe Mh. Simon Simalenga ametolea ufafanuzi suala la binti anayedai alimpiga

Mh Simalenga amesema yule binti hajapigwa kama inavyosimuliwa bali yeye alimpa warning Baada ya kutaka kumpiga lakini alimshika Mkono na binti akaomba Msamaha.

Naye Waziri wa maendeleo ya Jamii Dkt. Dorothy Gwajima amesema suala hilo linafanyiwa Uchunguzi na polisi na ukikamilika taarifa kwa Umma itatolewa

Mlale unono!
 
Mkuu wa wilaya ya Songwe mh Simon Simalenga ametolea ufafanuzi swala la binti anayedai alimpiga

Mh Simalenga amesema yule binti hajapigwa kama inavyosimuliwa bali yeye alimpa warning Baada ya kutaka kumpiga lakini alimshika Mkono na binti akaomba Msamaha.

Naye Waziri wa maendeleo ya Jamii Dr Dorothy Gwajima amesema swala hilo linafanyiwa Uchunguzi na polisi na ukikamilika taarifa kwa Umma itatolewa

Mlale unono!
Kwa nini alitaka kumpiga na alitaka kumpiga kama nani....!?

Lazima kulikuwa na witness wengi tu, hivyo kama hawatatishwa ukweli utajulikana. Yaani kitendo cha yeye kushika mkono tena mtoto wa kike... Yaani ni kosa kubwa sana.

Hiki kiburi cha Wakuu wa Wilaya toka enzi za JPM inabidi kidhibitiwe. Nakumbuka akina Chalamila waliwahi piga watoto wa watu halafu kuna watu wakawa defend. Sasa haya ndiyo matokeo yake.

Enzi za JK kuna Mkuu wa Wilaya alimtandika viboko mwalimu wa shule ya msingi.... Kikwete alimtimua kazi kesho yake.

Sitashangaa kusikia ana negotiate dau ili atoke salama. Kwa hiyo matokeo ya uchaguzi nafikiri tayari yameshajulikana.
 
Mkuu wa wilaya ya Songwe mh Simon Simalenga ametolea ufafanuzi swala la binti anayedai alimpiga

Mh Simalenga amesema yule binti hajapigwa kama inavyosimuliwa bali yeye alimpa warning Baada ya kutaka kumpiga lakini alimshika Mkono na binti akaomba Msamaha.

Naye Waziri wa maendeleo ya Jamii Dr Dorothy Gwajima amesema swala hilo linafanyiwa Uchunguzi na polisi na ukikamilika taarifa kwa Umma itatolewa

Mlale unono!
Governmenting with publicity
 
Hata hiyo tume ya gwajigeli sidhan kama wanauwezo wa kumhoji mtu anayekuja anapeperusha bendera.

Anaweza kuropoka tu wakapgwa ndani.

Ni rahisi kumhoji waziri, lakn sio rc au dc.hawa wanamiliki maeneo wakifuatiwa na wenyeviti wa vijiji.
 
Ukumshika binti anaumia jicho?
 
Yaani kumshika tu hadi na hospitali akaenda.

Hii nchi hatuna wa kumlaumu kwa kuwa kwetu nyuma. Ni sisi wenyewe na mambo ya hovyo. Haina hata haja kusikiliza utetezi wa huyu DC, hii ni permanent dismissal, huyu DC hadi leo hakutakiwa kuwa ofisini anatakiwa awe mahabusu.
 
Hata hiyo tume ya gwajigeli sidhan kama wanauwezo wa kumhoji mtu anayekuja anapeperusha bendera.

Anaweza kuropoka tu wakapgwa ndani.

Ni rahisi kumhoji waziri, lakn sio rc au dc.hawa wanamiliki maeneo wakifuatiwa na wenyeviti wa vijiji.
Hivi una akili timamu kweli mzee duuuh aisee kazi ipo yaani rc >minister aisee hii ndio nimeisikia kwako mzee
 
Back
Top Bottom