state agent
JF-Expert Member
- Jul 1, 2019
- 1,764
- 2,511
Nimejiuliza sana sijapata majibu maana hii ni mpya kumuona Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya kavaa sare za Polisi hasa kuona sare hizi ameziandika UVCCM huku akijua sio rangi za chama cha CCM ni nguo za jeshi la polisi