DC Sabaya kuvaa nguo za kipolisi alimaanisha nini? Imekaaje kikanuni?

state agent

JF-Expert Member
Jul 1, 2019
1,764
2,511
Nimejiuliza sana sijapata majibu maana hii ni mpya kumuona Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya kavaa sare za Polisi hasa kuona sare hizi ameziandika UVCCM huku akijua sio rangi za chama cha CCM ni nguo za jeshi la polisi

FB_IMG_1568243182043.jpeg
 
Huyo ni mwehu, anajulikana tokea huko st John aliposomea degree yake.

Kama aliweza kujifanya afisa wa usalama wa taifa, aweziahindwa fanya upuudhi kama huu.
Bahati mbaya ndio Aina ya ma dc jamaa alioamua kuwa nao very useless people.

Hawa Ni wanaribifu tu wa raslimali za Taifa. Ila ndio hivyo tena hata chuo alichosoma kinajieleza Ni kama yule rc aliyesomea ushirica
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom