DC Sabaya kuvaa nguo za kipolisi alimaanisha nini? Imekaaje kikanuni?

Huyo ni mwehu, anajulikana tokea huko st John aliposomea degree yake.

Kama aliweza kujifanya afisa wa usalama wa taifa, aweziahindwa fanya upuudhi kama huu.
Bahati mbaya ndio Aina ya ma dc jamaa alioamua kuwa nao very useless people.

Hawa Ni wanaribifu tu wa raslimali za Taifa. Ila ndio hivyo tena hata chuo alichosoma kinajieleza Ni kama yule rc aliyesomea ushirica
Chuo ndio kilimfunza huo ujinga?
Jifunze kujenga hoja!
Ukikutana nae umuulize kama anacho cheti cha kuhitimu cha St John's university au anacho cha St Augustine university..
 
Huyo ni mwehu, anajulikana tokea huko st John aliposomea degree yake.

Kama aliweza kujifanya afisa wa usalama wa taifa, aweziahindwa fanya upuudhi kama huu.
Bahati mbaya ndio Aina ya ma dc jamaa alioamua kuwa nao very useless people.

Hawa Ni wanaribifu tu wa raslimali za Taifa. Ila ndio hivyo tena hata chuo alichosoma kinajieleza Ni kama yule rc aliyesomea ushirica
The king of this country is possessed by the evil spirits.
 
Yani unavaa nguo za polisi halafu unaweka pozi la kujibebisha na kashingo umeweka upande?

Doso litamhusu mtu hapa.

Naota tu wana jf.

ha ha haa wewe jamaa mbaya sana kwa kusoma ramani na lugha ya picha...umetisha!
 
Bazi lolote la jeshi huthibitika ni la jeshi fulani panapokuwa na nembo ya jeshi husika.

Acheni Upuuzi.
Wewe ni mpuuzi sana ,watu kama wewe ndo mnatufanya wanaccm tuonekana hatuna akili. Kavae ata ya mabakamabaka ya jeshi alufu ukutwe then useme hamna nembo ya TPDF
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom