kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,703
- 20,606
Taasisi ya African Young Leaders Summit YALS inayojihushisha na masuala ya vijana ambayo makao makuu yake ni Nchini Africa ya Kusini imetangaza wanasiasa Bora kwa mwaka 2019 kwa kutumia vigezo mbalimbali ikiwepo Ushiriki wa moja kwa moja katika kutatua matatizo sugu yanayoikumba jamii ya watu wa chini.
Katika category ya *'' Male Politician Of The Year 2019''* Imewatangaza *Robert Kyagulanyi [Bob Wine] kutoka Uganda, Julius Karl Fieve kutoka Ghana,Lengai Ole Sabaya kutoka Tanzania,Fauzoeya Nurudeen Kutoka Nigeria,Yongama Ludwe Zigebe kutoka Afrika Kusini na Nwosu Franklyn Chiedozie kutoka Nigeria*
Tuzo hizo hutolewa kila mwaka katika Idara tofauti zinawahusu vijana wa Africa na Mwishoni mwa mwaka 2019 YALS ilimtangaza Mbunge wa Uganga Bob wine Kushinda tuzo hiyo nyuma ya Akimzidi kidogo kura Lengai Ole Sabaya na Ludwe zibege wa Africa Kusini ambao walifungana.
Bob wine Alituma mwakilishi katika upokeaji wa Tuzo hiyo kwenye hafla ya ugawaji iliofanyikia nchini Ghana na katika ujumbe wake Bob Wine aliwapongeza waandaji kwa kuwaona na kuwatambua vijana wanaopambana kuifanya Africa ing'are kimaendeleo,sambamba na hilo Bob Wine Aliwapongeza washindani wenzake kwa Kumpa Ushindani Mkali.
Tayari YALS Imetangaza mashindano ya mwaka huu 2020 yatafanyikia nchini Ethiopia.View attachment 1324853
Sent using Jamii Forums mobile app
Andaa tuzo zako umpe mtakaInatakiwa Antony Mtaka jina lake lipelekwe pia,huyo atalihaibisha taifa
Mnyika hayumo kweli?? Ngoja mwakaniTaasisi ya African Young Leaders Summit YALS inayojihushisha na masuala ya vijana ambayo makao makuu yake ni Nchini Africa ya Kusini imetangaza wanasiasa Bora kwa mwaka 2019 kwa kutumia vigezo mbalimbali ikiwepo Ushiriki wa moja kwa moja katika kutatua matatizo sugu yanayoikumba jamii ya watu wa chini.
Katika category ya *'' Male Politician Of The Year 2019''* Imewatangaza *Robert Kyagulanyi [Bob Wine] kutoka Uganda, Julius Karl Fieve kutoka Ghana,Lengai Ole Sabaya kutoka Tanzania,Fauzoeya Nurudeen Kutoka Nigeria,Yongama Ludwe Zigebe kutoka Afrika Kusini na Nwosu Franklyn Chiedozie kutoka Nigeria*
Tuzo hizo hutolewa kila mwaka katika Idara tofauti zinawahusu vijana wa Africa na Mwishoni mwa mwaka 2019 YALS ilimtangaza Mbunge wa Uganga Bob wine Kushinda tuzo hiyo nyuma ya Akimzidi kidogo kura Lengai Ole Sabaya na Ludwe zibege wa Africa Kusini ambao walifungana.
Bob wine Alituma mwakilishi katika upokeaji wa Tuzo hiyo kwenye hafla ya ugawaji iliofanyikia nchini Ghana na katika ujumbe wake Bob Wine aliwapongeza waandaji kwa kuwaona na kuwatambua vijana wanaopambana kuifanya Africa ing'are kimaendeleo,sambamba na hilo Bob Wine Aliwapongeza washindani wenzake kwa Kumpa Ushindani Mkali.
Tayari YALS Imetangaza mashindano ya mwaka huu 2020 yatafanyikia nchini Ethiopia.View attachment 1324853
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hawa wapambe wa huyu jamaa watatuletea hata kampuni za matopasi watuambie zimempaisha jamaa kwenye uzalolishaji.. Wana fikiri Sabaya hajulikani maujinga yake.Nimejaribu kufuatilia thread zako ulizoanzisha na nimekuelewa vizuri. Endelea na kazi yako mzee spesho andakava sirii.
Unatuona sie mabwegeee!
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenichekesha sana eti nyege! Huyo aende kwa Jiwe ampachike kitu!
Hahahahaah dahUmenichekesha sana eti nyege! Huyo aende kwa Jiwe ampachike kitu!
Daudi acha Kumyari ANDAKAVA SIRII WA IGO UPELEZI WA NDANI...huu ugoro utakula na huyo Sabaya usalama feki
Hilihili tapeli la makonda style?Mbona watu mnavituko sana humu jf au imegeuzwa joke forum.What a shameTaasisi ya African Young Leaders Summit YALS inayojihushisha na masuala ya vijana ambayo makao makuu yake ni Nchini Africa ya Kusini imetangaza wanasiasa Bora kwa mwaka 2019 kwa kutumia vigezo mbalimbali ikiwepo Ushiriki wa moja kwa moja katika kutatua matatizo sugu yanayoikumba jamii ya watu wa chini.
Katika category ya *'' Male Politician Of The Year 2019''* Imewatangaza *Robert Kyagulanyi [Bob Wine] kutoka Uganda, Julius Karl Fieve kutoka Ghana,Lengai Ole Sabaya kutoka Tanzania,Fauzoeya Nurudeen Kutoka Nigeria,Yongama Ludwe Zigebe kutoka Afrika Kusini na Nwosu Franklyn Chiedozie kutoka Nigeria*
Tuzo hizo hutolewa kila mwaka katika Idara tofauti zinawahusu vijana wa Africa na Mwishoni mwa mwaka 2019 YALS ilimtangaza Mbunge wa Uganga Bob wine Kushinda tuzo hiyo nyuma ya Akimzidi kidogo kura Lengai Ole Sabaya na Ludwe zibege wa Africa Kusini ambao walifungana.
Bob wine Alituma mwakilishi katika upokeaji wa Tuzo hiyo kwenye hafla ya ugawaji iliofanyikia nchini Ghana na katika ujumbe wake Bob Wine aliwapongeza waandaji kwa kuwaona na kuwatambua vijana wanaopambana kuifanya Africa ing'are kimaendeleo,sambamba na hilo Bob Wine Aliwapongeza washindani wenzake kwa Kumpa Ushindani Mkali.
Tayari YALS Imetangaza mashindano ya mwaka huu 2020 yatafanyikia nchini Ethiopia.View attachment 1324853
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe huyu dogo ni mtoto wa yule DC wa zamani wa Serengeti Thomas ole Sabaya aliyepatikana na hatia za kukiuka haki za binadamu na kuchoma moto makazi ya watu na kusababisha mauaji!Umenichekesha sana eti nyege! Huyo aende kwa Jiwe ampachike kitu!
Hahaha haya ndiyo mambo yanpendwa awamu hii.Hongera Sana "ANDAKAVA" aka IGO SIRIII kutoka UPELEZI wa Ndani Kwenye JAMUHURI.
View attachment 1325351