DC Sabaya apaa kimataifa; atunukiwa tuzo ya uongozi ya Kimataifa

Taasisi ya African Young Leaders Summit YALS inayojihushisha na masuala ya vijana ambayo makao makuu yake ni Nchini Africa ya Kusini imetangaza wanasiasa Bora kwa mwaka 2019 kwa kutumia vigezo mbalimbali ikiwepo Ushiriki wa moja kwa moja katika kutatua matatizo sugu yanayoikumba jamii ya watu wa chini.

Katika category ya *'' Male Politician Of The Year 2019''* Imewatangaza *Robert Kyagulanyi [Bob Wine] kutoka Uganda, Julius Karl Fieve kutoka Ghana,Lengai Ole Sabaya kutoka Tanzania,Fauzoeya Nurudeen Kutoka Nigeria,Yongama Ludwe Zigebe kutoka Afrika Kusini na Nwosu Franklyn Chiedozie kutoka Nigeria*

Tuzo hizo hutolewa kila mwaka katika Idara tofauti zinawahusu vijana wa Africa na Mwishoni mwa mwaka 2019 YALS ilimtangaza Mbunge wa Uganga Bob wine Kushinda tuzo hiyo nyuma ya Akimzidi kidogo kura Lengai Ole Sabaya na Ludwe zibege wa Africa Kusini ambao walifungana.

Bob wine Alituma mwakilishi katika upokeaji wa Tuzo hiyo kwenye hafla ya ugawaji iliofanyikia nchini Ghana na katika ujumbe wake Bob Wine aliwapongeza waandaji kwa kuwaona na kuwatambua vijana wanaopambana kuifanya Africa ing'are kimaendeleo,sambamba na hilo Bob Wine Aliwapongeza washindani wenzake kwa Kumpa Ushindani Mkali.

Tayari YALS Imetangaza mashindano ya mwaka huu 2020 yatafanyikia nchini Ethiopia.View attachment 1324853

Sent using Jamii Forums mobile app

Yaani kiongozi anaonekana anapokea rushwa kwenye video halafu tujivunie hivi ni vichekesho . Dogo fanya kazi achana na kupenda visa na kumtafuta Mbowe kwenye majanga yasiyo ya msingi. Shughulikia vitu kama ariport ya KIA pale, watalii na madini.
 
Taasisi ya African Young Leaders Summit YALS inayojihushisha na masuala ya vijana ambayo makao makuu yake ni Nchini Africa ya Kusini imetangaza wanasiasa Bora kwa mwaka 2019 kwa kutumia vigezo mbalimbali ikiwepo Ushiriki wa moja kwa moja katika kutatua matatizo sugu yanayoikumba jamii ya watu wa chini.

Katika category ya *'' Male Politician Of The Year 2019''* Imewatangaza *Robert Kyagulanyi [Bob Wine] kutoka Uganda, Julius Karl Fieve kutoka Ghana,Lengai Ole Sabaya kutoka Tanzania,Fauzoeya Nurudeen Kutoka Nigeria,Yongama Ludwe Zigebe kutoka Afrika Kusini na Nwosu Franklyn Chiedozie kutoka Nigeria*

Tuzo hizo hutolewa kila mwaka katika Idara tofauti zinawahusu vijana wa Africa na Mwishoni mwa mwaka 2019 YALS ilimtangaza Mbunge wa Uganga Bob wine Kushinda tuzo hiyo nyuma ya Akimzidi kidogo kura Lengai Ole Sabaya na Ludwe zibege wa Africa Kusini ambao walifungana.

Bob wine Alituma mwakilishi katika upokeaji wa Tuzo hiyo kwenye hafla ya ugawaji iliofanyikia nchini Ghana na katika ujumbe wake Bob Wine aliwapongeza waandaji kwa kuwaona na kuwatambua vijana wanaopambana kuifanya Africa ing'are kimaendeleo,sambamba na hilo Bob Wine Aliwapongeza washindani wenzake kwa Kumpa Ushindani Mkali.

Tayari YALS Imetangaza mashindano ya mwaka huu 2020 yatafanyikia nchini Ethiopia.View attachment 1324853

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnyika hayumo kweli?? Ngoja mwakani
 
Hilihili tapeli la makonda style?Mbona watu mnavituko sana humu jf au imegeuzwa joke forum.What a shame
 
Back
Top Bottom