DC Sabaya apaa kimataifa; atunukiwa tuzo ya uongozi ya Kimataifa

lukumay52

New Member
Joined
Oct 22, 2019
Messages
0
Points
20

lukumay52

New Member
Joined Oct 22, 2019
0 20
Taasisi ya African Young Leaders Summit YALS inayojihushisha na masuala ya vijana ambayo makao makuu yake ni Nchini Africa ya Kusini imetangaza wanasiasa Bora kwa mwaka 2019 kwa kutumia vigezo mbalimbali ikiwepo Ushiriki wa moja kwa moja katika kutatua matatizo sugu yanayoikumba jamii ya watu wa chini.

Katika category ya *'' Male Politician Of The Year 2019''* Imewatangaza *Robert Kyagulanyi [Bob Wine] kutoka Uganda, Julius Karl Fieve kutoka Ghana,Lengai Ole Sabaya kutoka Tanzania,Fauzoeya Nurudeen Kutoka Nigeria,Yongama Ludwe Zigebe kutoka Afrika Kusini na Nwosu Franklyn Chiedozie kutoka Nigeria*

Tuzo hizo hutolewa kila mwaka katika Idara tofauti zinawahusu vijana wa Africa na Mwishoni mwa mwaka 2019 YALS ilimtangaza Mbunge wa Uganga Bob wine Kushinda tuzo hiyo nyuma ya Akimzidi kidogo kura Lengai Ole Sabaya na Ludwe zibege wa Africa Kusini ambao walifungana.

Bob wine Alituma mwakilishi katika upokeaji wa Tuzo hiyo kwenye hafla ya ugawaji iliofanyikia nchini Ghana na katika ujumbe wake Bob Wine aliwapongeza waandaji kwa kuwaona na kuwatambua vijana wanaopambana kuifanya Africa ing'are kimaendeleo,sambamba na hilo Bob Wine Aliwapongeza washindani wenzake kwa Kumpa Ushindani Mkali.

Tayari YALS Imetangaza mashindano ya mwaka huu 2020 yatafanyikia nchini Ethiopia. View attachment 1324853

Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu tufafanulieni huyu jamaa ndio kashinda au Bobwine
 
Kamundu

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2006
Messages
3,092
Points
2,000

Kamundu

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2006
3,092 2,000

Yaani kiongozi anaonekana anapokea rushwa kwenye video halafu tujivunie hivi ni vichekesho . Dogo fanya kazi achana na kupenda visa na kumtafuta Mbowe kwenye majanga yasiyo ya msingi. Shughulikia vitu kama ariport ya KIA pale, watalii na madini.
 
Patriot

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2008
Messages
4,078
Points
2,000

Patriot

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2008
4,078 2,000
Taasisi ya African Young Leaders Summit YALS inayojihushisha na masuala ya vijana ambayo makao makuu yake ni Nchini Africa ya Kusini imetangaza wanasiasa Bora kwa mwaka 2019 kwa kutumia vigezo mbalimbali ikiwepo Ushiriki wa moja kwa moja katika kutatua matatizo sugu yanayoikumba jamii ya watu wa chini.

Katika category ya *'' Male Politician Of The Year 2019''* Imewatangaza *Robert Kyagulanyi [Bob Wine] kutoka Uganda, Julius Karl Fieve kutoka Ghana,Lengai Ole Sabaya kutoka Tanzania,Fauzoeya Nurudeen Kutoka Nigeria,Yongama Ludwe Zigebe kutoka Afrika Kusini na Nwosu Franklyn Chiedozie kutoka Nigeria*

Tuzo hizo hutolewa kila mwaka katika Idara tofauti zinawahusu vijana wa Africa na Mwishoni mwa mwaka 2019 YALS ilimtangaza Mbunge wa Uganga Bob wine Kushinda tuzo hiyo nyuma ya Akimzidi kidogo kura Lengai Ole Sabaya na Ludwe zibege wa Africa Kusini ambao walifungana.

Bob wine Alituma mwakilishi katika upokeaji wa Tuzo hiyo kwenye hafla ya ugawaji iliofanyikia nchini Ghana na katika ujumbe wake Bob Wine aliwapongeza waandaji kwa kuwaona na kuwatambua vijana wanaopambana kuifanya Africa ing'are kimaendeleo,sambamba na hilo Bob Wine Aliwapongeza washindani wenzake kwa Kumpa Ushindani Mkali.

Tayari YALS Imetangaza mashindano ya mwaka huu 2020 yatafanyikia nchini Ethiopia. View attachment 1324853

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnyika hayumo kweli?? Ngoja mwakani
 
LESIRIAMU

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2008
Messages
5,105
Points
2,000

LESIRIAMU

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2008
5,105 2,000
Nimejaribu kufuatilia thread zako ulizoanzisha na nimekuelewa vizuri. Endelea na kazi yako mzee spesho andakava sirii.
Unatuona sie mabwegeee!

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hawa wapambe wa huyu jamaa watatuletea hata kampuni za matopasi watuambie zimempaisha jamaa kwenye uzalolishaji.. Wana fikiri Sabaya hajulikani maujinga yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mitigator

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Messages
4,116
Points
2,000

mitigator

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2014
4,116 2,000
Taasisi ya African Young Leaders Summit YALS inayojihushisha na masuala ya vijana ambayo makao makuu yake ni Nchini Africa ya Kusini imetangaza wanasiasa Bora kwa mwaka 2019 kwa kutumia vigezo mbalimbali ikiwepo Ushiriki wa moja kwa moja katika kutatua matatizo sugu yanayoikumba jamii ya watu wa chini.

Katika category ya *'' Male Politician Of The Year 2019''* Imewatangaza *Robert Kyagulanyi [Bob Wine] kutoka Uganda, Julius Karl Fieve kutoka Ghana,Lengai Ole Sabaya kutoka Tanzania,Fauzoeya Nurudeen Kutoka Nigeria,Yongama Ludwe Zigebe kutoka Afrika Kusini na Nwosu Franklyn Chiedozie kutoka Nigeria*

Tuzo hizo hutolewa kila mwaka katika Idara tofauti zinawahusu vijana wa Africa na Mwishoni mwa mwaka 2019 YALS ilimtangaza Mbunge wa Uganga Bob wine Kushinda tuzo hiyo nyuma ya Akimzidi kidogo kura Lengai Ole Sabaya na Ludwe zibege wa Africa Kusini ambao walifungana.

Bob wine Alituma mwakilishi katika upokeaji wa Tuzo hiyo kwenye hafla ya ugawaji iliofanyikia nchini Ghana na katika ujumbe wake Bob Wine aliwapongeza waandaji kwa kuwaona na kuwatambua vijana wanaopambana kuifanya Africa ing'are kimaendeleo,sambamba na hilo Bob Wine Aliwapongeza washindani wenzake kwa Kumpa Ushindani Mkali.

Tayari YALS Imetangaza mashindano ya mwaka huu 2020 yatafanyikia nchini Ethiopia. View attachment 1324853

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilihili tapeli la makonda style?Mbona watu mnavituko sana humu jf au imegeuzwa joke forum.What a shame
 
Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Messages
33,711
Points
2,000

Chakaza

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2007
33,711 2,000
Umenichekesha sana eti nyege! Huyo aende kwa Jiwe ampachike kitu!
Kumbe huyu dogo ni mtoto wa yule DC wa zamani wa Serengeti Thomas ole Sabaya aliyepatikana na hatia za kukiuka haki za binadamu na kuchoma moto makazi ya watu na kusababisha mauaji!
Kweli maji hufuata mkondo. Baba yake kama ingekuwa sio serikali ya CCM angefia jela, sasa mtoto anaendeleza ujinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,389,272
Members 527,879
Posts 34,021,715
Top