DC Rombo akamata mbakaji

ray jay

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
1,084
485
Leo hapa Usseri tunafurahika tu...MTU huyu alitusumbua sana
Kila alipokuwa analalamikiwa alijifanya kujificha kwa hoja ya ushahidi
Ntakuwa anasingiziwa na kuchukiwa.

://m.facebook.com/story.php?story_fbid=1335060793235499&id=100001947747688
 
Hivi si ni hii Rombo wanawake waliamua kwenda Kenya kutafuta haki yao ya tendo la ndoa cz wanaume muda mwingi wapo tungi?Hii jamii ina matatizo makubwa
 
DC tuko pamoja na hii vita! Panahitajika elimu ya ziada kwa wazazi na watoto.

Na muhimu zaidi kushirikiana na taasisi za kidini ktk swala zima la elimu kwa vijana wetu.

Hawa walimu wanaovunja trust ya dhamana juu ya wale wanaowaongoza ktk mafunzo, ni hatari kwa jamii, it is clear wame cross a red line. Punishment iwe saviour and swift.
 
Kuna kiongozi aliwahi kusema "wasichana kupata mimba ni keherere chao..."huyo mwalimu yuko vizuri,sasa ni zamu ya jamhuri kumshughulikia.Japo warombo wa useri ni watata sana,sijui ilikuwaje wakamficha mwalimu.
 
Back
Top Bottom