DC Richard Kasesera apinga Clouds Media kuanzisha shindano la DC bora

Niliwaza huu mkwamo na ukosoaji, isingewezekana kwani wengi wangeona kama ni kuwachongea kwa Boss wao.......Hao wakuu wa Wilaya wana wasiwasi gani sisi wananchi tukitathmini utendaji wao?
 
Niliwaza huu mkwamo na ukosoaji, isingewezekana kwani wengi wangeona kama ni kuwachongea kwa Boss wao.......Hao wakuu wa Wilaya wana wasiwasi gani sisi wananchi tukitathmini utendaji wao?
Swala siyo wasiwasi bali vigezo vitakavyotumika!
 
Swala siyo wasiwasi bali vigezo vitakavyotumika!
Na majaji watakaotumika pia.Hii ni kuwinda rushwa tu .Wakuu wa wilaya wawatafute clouds wawahonge hela ili wawe rated vizuri.Hilo zoezi ni mradi wa kuwinda rushwa tu hamna kitu .Kaesesera yuko sahihi
 
Na majaji watakaotumika pia.Hii ni kuwinda rushwa tu .Wakuu wa wilaya wawatafute clouds wawahonge hela ili wawe rated vizuri.Hilo zoezi ni mradi wa kuwinda rushwa tu hamna kitu .Kaesesera yuko sahihi
Clouds ni wazee wa fursa......eti siku ya kwanza tu wakadai Mjema na Jokate wanaongoza kwa mbali........hahahaa!
 
Mh Richard Kasesera kwa niaba ya wakuu wote wa wilaya Tanzania amewataka CMG kuacha mara moja shindano la kumtafuta DC bora.

Kasesera amesema ubora wa mkuu wa wilaya anaujua yule aliyewateua ambaye ni Rais Magufuli!
Clouds waache ujinga kabisa aisee mashindano ya kuchezea ugali wa watu haya sio mazuri kwa afya
 
Yaani Hassani Ngoma na Sam ndio majaji ama? Kama ni hivo nadhani Richard ana kila sababu ya kujitoa katika kinyang'anyiro hiko
 
Hawa wajinga wanatafuta pesa hata kwa kutuharibia maisha yetu, nani kawapa kibali hawa vilaza wa div 4 and 3? wanataka kutuvurugia utendaji wa serikali kisha waseme mzee ameshindwa, ujanja ujanja hatutaki. WAFANYE MASHINDANO YA MTANGAZAJI BORA HAPO KWAO BASI, WAACHANA NA MA-DC wetu
Seba,Ngoma,Sasari nk degree holders acha mkumbo...hiyo ni wananchi wanachagua na kutoa sababu kafanya jambo gani la kupongezwa..tatizo liko wapi??? hata majarida na media kubwa duniani wanafanya hivyo...mbona Nobel prize wanapewa mpaka maraisi wa nchi
 
Safi kabisa DC Kasesera..!! Clouds wao ni nani na wanajuaje RC au DC bora? Clouds sijui hawajui mipaka yao ya kazi, wameniudhi kwa hili..
 
Seba,Ngoma,Sasari nk degree holders acha mkumbo...hiyo ni wananchi wanachagua na kutoa sababu kafanya jambo gani la kupongezwa..tatizo liko wapi??? hata majarida na media kubwa duniani wanafanya hivyo...mbona Nobel prize wanapewa mpaka maraisi wa nchi
Wananchi hawa wanaoendeshwa na picha za instagram ? ata mimi ningekuwa kasesera ningekataa ujinga huo
 
Back
Top Bottom