DC Polepole Mbona kama Ananung'unika vipi kunani tena huko?

Ndikwega

R I P
Feb 1, 2012
5,979
5,524
Amenukuu baadhi ya Busara kwenye
Biblia kuwa Sasa ameeleza kuwa kwanini Mfalme Suleiman aliomba Hekima na Yona Kwanini alikuwa anakataa kwenda Ninawi Kuwahubiria wale watu wa Nchi ile. Haya ameyaandika kwenye Mtandao kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter.

Sijui kuna jitu au limnyama gani linamtisha. Polepole Jikaze Dogo uliipenda mwenyewe na chaguo lako mwenyewe.....
 
Hana lolote huyu..

Kiongozi ambae hawezi kusimamia anayoyasema huyo ni rahisi sana kuwasaliti anaowaongoza.

Huyu alipigia sana kelele Katiba mpya ambayo ndani yake Wakuu wa Mikoa na Wilaya nafasi hizo zilikuwa zimefutwa..

Halafu unakuja kupewa nafasi iyo iyo uliyoipinga unakubali kuipokea kwa kula kiapo...

USALITI na UNAFIKI wa kiwango cha juu sana.
 
Ndicho kinachotudhihirishia kuwa viongozi wengi wa Tanzania njaa ndiyo shida kubwa.
 
utawala huu ungekuwa wakulabata waziwazi kama uliopita nadhani saivi tungepigwa vijembe sana sasa utawala huu bata wanalia mafichoni haina jeans wala kadeti kingine unafiki umemponza sana alishindwa kusimamia alichoamini kweli wape pombe masikini wasahau shida zao
 
Back
Top Bottom