Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,165
- 6,531
Hapana. Bado sijakolea imani hiyo asee. Hicho nacho kipaji
Na wewe mko wawili mama?
Na wewe mko wawili mama?
Mmmh ukipewa hiyo ruhusa na mkeo inabidi kabla ujatekeleza ujifikilie sana pengne yeye alishakuongezea mwenzio muda mrf.Ukiacha suala la dini yake kuruhusu ndoa ya mke zaidi ya mmoja ila kumkaribisha mke mwenzio hadharani hivi ni ushujaa uliotukuka. Hongera bi Zainab kwa kukubali mwenzio nyumbani.
View attachment 699033
View attachment 699031
Na nyie wengine mloolewa fanyeni kama Zainab mtupunguze tusio na ndoa mtaani.
I love this country "Eritrea"!Home Mahusiano Eritrea Imetoa Sheria Mpya: Oa Wake Wawili au Nenda Jela.
MAHUSIANOTRENDING
ERITREA IMETOA SHERIA MPYA: OA WAKE WAWILI AU NENDA JELA.
written by Admin January 26, 2016
Wanaume nchini Eritrea, wameagizwa na serikali kuoa mke zaidi ya mmoja, la sivyo unajiweka kwenye hatari ya kwenda jela.
Serikali pia imeahidi kusaidia gharama za harusi pamoja na nyumba. Sheria hii imekuja kutokana na uhaba wa wanaume nchini humo uliotokana na vita kati ya Eritrea na Ethiopia ambapo zaidi ya wanajeshi 150,000 waliuwawa.
Sheria hii haiwahusu wanaume peke yao, mwanamke atakaye kataa mume wake asioe mwanamke wa pili anaadhibiwa kwa kifungo cha maisha jela.
Jina la Eritrea linamaanisha “Red Sea” kwa Kigiriki.
Zifuatazo ni baadhi ya picha za wasichana wa Eritrea.
View attachment 717766 View attachment 717767 View attachment 717768 View attachment 717769 View attachment 717770
Eritrea Imetoa Sheria Mpya: Oa Wake Wawili au Nenda Jela. - Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
Kwamba Narita blender?Alimtafute file lake akajua nasikia akawa anamtukana insta. Hadi file la Salma kuwa mwanamke wa Narita analo nasikia
Ndio nchi hizo unalazimika kuzipenda kwa maamuzi ya busara kama hayaI love this country "Eritrea"!
FisiHiyo ndio dini ya kweli sio huku kwetu eti mke moja kama pua.
alichepuka kivip mkuu?DC alitangulia kuchepuka.
kabisa kama alilifanya hili kwa moyo mweupe anastahiliSanamu ya huyo dada tuiweke pale mlimani City
Kashaolewa na waziri aweso.alichepuka kivip mkuu?
Mmmhh lin hii mbona hatujasikiaKashaolewa na waziri aweso.
alaaa kumbe kwa hiyo yule mume aliomsisitiza aongeze mke walitemana sio?Kashaolewa na waziri aweso.
Mmmhh lin hii mbona hatujasikia