DC Ole Sabaya: Wilaya ya Hai haitakuwa uwanja wa majaribio ya kisiasa tena

Magembe sociable

JF-Expert Member
Jul 10, 2021
213
500
Hawa watu wa HAI walikuwa wavumilivu kiasi gani wa kutawaliwa na mpumbavu Kama huyu,Naimani Mungu atawapa pepo.huyu dogo angepelekwa wilayani kwetu na hakika tungekuwa tumemzika Siku nyingi Sana .matendo aliyoyafanya alipaswa kuuwawa.
 

witnessj

JF-Expert Member
Mar 22, 2015
25,058
2,000
Sabaya amevuna alichopanda.

CCM wajifunze kuwa hii dunia ni ya Mungu.
Nchi na vyote vijazavyo ni Mali ya BWANA ,dunia na vyote vilivyomo.
Madini ameumba Mungu.
Mito ameumba Mungu.
Bahari ameumba Mungu .
Samaki ameumba Mungu.
Wanyama ameumba Mungu.
Milima na mabonde ameumba Mungu.
Hewa safi ya Oksijeni ameumba Mungu.
Anga lote ameumba Mungu.

Wanadamu wote wameumbwa na Mungu.
Yaani kila kitu kimeumbwa na Mungu.
CCM ni chama kilichoundwa na kikundi cha watu wakiwa na nia njema kisiasa. Waliounda CCM walijua kuwa hicho chama hakipo juu ya Muumba wala kanuni za uumbaji wa Mungu . Ndio Maana waliamini kuwa binadamu wote ni sawa.

Chaa ajabu awamu ya Tano ilijisahau na kujiona kuwa iko juu ya kila kitu na kuwa Mwenyekiti wa CCM na amiri jeshi mkuu ndiye aliyeumba kila kitu na ndiye mwenye kutumainiwa na kila kitu.
Walijisahau kuwa Utawala ni wa Mungu anampa amtakaye tu ili atimize malengo yake kwa haki bila kuwaonea wengine.

Sabaya na kundi la vijana wa CCM waliokua wanapenda Siasa za Chuki na kutesa wengine walidhani kuwa Nchi ni Mali ya Rais. Walisahau kuwa kila kitu ni Mali ya Mungu. Na Mungu ni Mungu wa Haki.

CCM na Serikali yake wajifunze kuwa hata vyombo vya dola wanavyovitumia kudhulumu na kuumiza watu wasio na hatia ipo siku Mungu atageuza mioyo ya watu na hawataamini kitakachotokea.

Mungu ni Mungu wa Vita.
Vita ni sehemu moja wapo ya kisasi cha jumla kwa wanadamu wanaotumia mabavu kuwadhulumu na kuwaonea wasio na hatia.

Libya na Iraq ni mifano mizuri sana ya dola linalojijengea uhalali kwa kumwaga damu za watu wasio na hatia na kuwanyamazisha bila kujali kuwa kila binadamu ana umuhimu wake.

Kama mtu amekosea ahukumiwe kulingana na sheria. Mtu asionewe kwa sababu ya Chama au kabila lake au dini yake au rangi yake.

Ilifikia mahali Vijana wa CCM walikua wanakata watu mapanga mchana kweupe bila kuulizwa na walionekana kuwa ni wazalendo. Je, hali hiyo inaondokaje kama Mwenye nchi aliyeko Mbinguni hataingilia kati?
Mungu anaangalia na anapoona utawala umejiinua sana juu na kuondoa haki kwa wote basi analeta mabadiliko yanayowaumiza zaidi watawala walioshindwa kusimamia haki. Inatokeaga tu ghafla unashangaa amejichomeka Mkongo ndani ya mifumo na amefanya mambo ya gine na upepo umebadilika mawaziri na wakuu mbalimbali wanakamatwa na kuswekwa ndani. Upepo unabadilika kabisa.

CCM mtawale lakini mjue kuwa yupo Jabali Mwenye Mbingu na ardhi yote. Mkiyajua hayo mtatenda haki na kuondoa chuki na dhulma.

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
 

zipompa

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
7,173
2,000
Mtu akishahukumiwa..na kuwa confirmed mhalifu
Jf isiruhusu thread zozote zile za kumpamba au kumtetea

Kuwepo na moral standards hapa JF
Maxence Melo
Sawa ko akikataa rufaa akashinda ndo turuhusiwe kuleta mapambio upya

Hapa naona mnataka kuminya uhuru wa habari, acheni watu walete nyuzi za kumsifia na kumtetea maana hukumu haiondoi mazuri ya mtu hapo zamani
 

MGOGOHALISI

JF-Expert Member
Apr 16, 2011
1,030
2,000
Awamu ya tano ilikua ya kipumbavu sana. Sijui tufanye nini kuifuta hii aibu. Cha ajabu hangaya anaanza kuelekea kulekule.
 

cmp

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
4,034
2,000
Ukiangalia deep hii hukumu haimuhusu sabaya kuna mtu anaandaliwa kulimwa sa ili malalamiko yasiwe mengi wanajifanya kumsweka sabaya ili kusema sheria haichagui chama....hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwani ushahidi uliotolewa dhidi ya Sabaya hjkuufatilia?Hata yeye amekiri kufanya matukio yale alipoambiwa ajitetee na kusema alikuwa anafanya vile kwa maelekezo ya mamlaka ya uteuzi wake.
 

Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
20,156
2,000
Mkuu kwani ushahidi uliotolewa dhidi ya Sabaya hjkuufatilia?Hata yeye amekiri kufanya matukio yale alipoambiwa ajitetee na kusema alikuwa anafanya vile kwa maelekezo ya mamlaka ya uteuzi wake.
Toka mwanzo kbs wa Kesi alishakiri kuwa mamlaka ya uteuzi ilikuwa unajua na kwamba hata Dr Mpango na Mkurugenzi wa BOT anajua.
 
  • Thanks
Reactions: cmp

Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
20,156
2,000
Sawa ko akikataa rufaa akashinda ndo turuhusiwe kuleta mapambio upya

Hapa naona mnataka kuminya uhuru wa habari, acheni watu walete nyuzi za kumsifia na kumtetea maana hukumu haiondoi mazuri ya mtu hapo zamani
Endelea kutete waharifu ambao wao wenyewe wamekiri. We hamnazo.
 

innocentkirumbuyo

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
3,818
2,000
Sabaya wewe Mwenyewe umesahau kesi yako kujifanya Usalama wa Taifa.

Ulifaa uwe Jela ukitumikia kifungo ,dhidi ya jinai ulizotenda kwa kujifanya Usalama wa Taifa.
Kumbuka usitukane Mamba kabla hujavuka Mto,

Bado nakuona wewe ni Mfungwa wa Kesho.
Wewe mtabiri upo vizuri
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom