DC Njombe ataka sehemu za starehe kufungwa saa nne usiku kuepuka Corona

OK Sawa je una uhakika bar za njombe kabla haijafika saa nne kamili Wateja huwa wanakaa umbali wa mita mbili? Na kama ndivyo wanashindwaje kuendelea kukaa umbali wa mita mbili baada ya kufika saa nne na kuendelea?
Ili kuepuka maambukizo lazima kuwepo umbali wa mita mbili mtu na mtu(social distance). Hili haliwezekani kwenye daladala bar, nyumba za ibada etc.
 
Back
Top Bottom