PROFESA KYANDO
Member
- Jul 24, 2012
- 81
- 6
wanaweza tena notisi waje wachukuwe hapa Kaigara sec,
hahahaaaa! Teh teh teh
wanaweza tena notisi waje wachukuwe hapa Kaigara sec,
mjibu rahisi, kwenye mswali magumu.hujamaa ni mvivu wa kufikiri ile mbaya sijui kasomaje shule huyu! Au ndo mambo ya open unvsty! SON LIKE FOTHER
Fahari kashikwa pembe na pumbu
mimi nilicheka sana hasa pale alipokuwa anaongea na watoto wadogo kama watu wakubwa,nikajiuliza hivi serikali imeshindwa kujadiliana na wakubwa wenzie sasa inafanya vikao na watoto.na jana ndio niliamini kwamba kumbe hata mwendawazimu anaweza kuwa mkuu wa wilaya.hivi vyeo vingine vifutwe ule wa jana ni ukichaa.Nimesikiliza kwenye ITV mkuu wa wilaya akiagiza maafisa elimu wa wilaya waende wakafundishe kwenye mashule kutokana na kuendelea kwa mgomo wa walimu.
Maagizo haya yananifanya niamini ukuu wa wilaya hauna maana katika hii nchi kwani hata watu wenye upeo hafifu kama wa huyo mkuu wa wilaya anaweza kuupata basi ni cheo kisicho na tija kwa taifa.
Nimejiuliza wilaya moja wapo maafisa elimu wangapi? watafundisha masomo gani na shule ngapi? Je, hiyo itasaidia kuondoa tatizo?
Nimejiridhisha wakuu wa wilaya hawahitajiki na nimeona aibu kwa mtu mzima kuongea ujinga kama ule mkuu mzima wa wilaya anaongea mawazo mepesi na dahifu kiasi hicho nimeona aibu ssana.
Sijaweza kulifahamu hata jina lake ni aibu kwelikweli.