Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,401
- 20,661
Utaratibu wa kudaiana vyeti umetamalaki sana Tanzania na Africa kwa ujumla. Mimi nimeshawahi kuajiriwa na mashirika ya kimataifa nje ya Nchi ambayo hawakuwahi kunidai copies za vyeti ingawa nilipitishwa kwenye 3 rigorous interview processes.Mimi niliwahi fanya kazi nikiwa mwaka wa pili chuo Kikuu na Nilimpata ajira rasmi bila hata matokeo ya mwaka wa pili. Watu wanaangalia uwezo wa Mtu sio cheti.
Sina uhakika kama walifanya "due diligent" kuverify kama vile vyuo nilivyotaja kwenye CV nilipita na kuhitumu hapo kweli lakini itoshe kusema tu kwamba reference check yao iligusa maeneo niliyofanya kazi kabla na sio niliposema nimesoma.
Kibongobongo forgery za kutosha sana na ni sawa tu kucross-check elimu za baadhi ya hawa mabwana na mabibi wanaoteuliwa kutoka kusikojulikana kwenda kuongoza ofisi za Umma.