DC mstaafu ang'ang'aniwa na mchepuko, vurugu zaibuka hospitalini

Duh huu mchepuko kiboko unapata wapi ujasiri wa kumkunja mume wa mwenzio kama wako
Mmasai hana mchepuko huyo ni mke halali,wao wanalipa mahari ya ngombe tu na kuongeza wake..unakuta mtu anawake saba au zaidi..wao ndoa za kanisani hawana
 
Malipo ni duniani, tatizo michepuko inajisahaulisha hii kanuni "usimzalie mume wa mtu"
Kwa mkewe akimbie mikojo, akija kwako tena akutane na mikojo...atakukimbia tu, huna uspesho huo!
Halafu mama mijengo tumekaa kikao tumeazimia kuwa hata wachepuke hatuondokii... Evelyn Salt
Huyo dada ni mkewe kimasai ukishamlipia mwanamke ngombe kadhaa ni mkeo..wao ndoa zao za kimila unamiliki kadri uwezo wako...huyo dc kuna bar huwa wanakula hapo nyama choma na huyo mkewe.
Sasa sijui ninishida mpka amjazie watu istoshe wake wote anaishi nao simanjiro sio arusha
 
Wanaume niery compicated but simple human beigs.

Mwanaume anachaguaga panapompa amani ila kuacha ndoa yake ni ngumu. Hakuna anayeamka asubuhi na kuacha ndoa yake. Its something premedidated over a long long time.

Almost always wanaume wanaanzaga kuchepuka baada ya mke kuzaa for many reasons. Kubadilika kwa mwili wa mke, concentration ya mke inakuwa diverted na pia zile kelele ng'eee ng'eee za watoto na kelele za mke pia.

Actually they don't really need a reason to sleep around. They just decide to.
 
Wanaume tumebinywa tu lakini ikiwezekana kwa uchache tunatakiwa tuwe nao angalau wawili tu.

Mwanamke akiwa na umri zaidi ya miaka 50 na hahitaji kuwa na mwanaume tena, kwa mwanaume ndio anahitaji zaidi na zaidi.
 

Similar Discussions

14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom