DC Msando na DC mwenzake wahamishiwa Muhimbili kwa matibabu zaidi lakini wako stable

Mkuu wa wilaya ya Morogoro Albert Msando na mwenzake wa Ulanga waliopata ajali leo wamehamishiwa hospitali ya taifa Muhimbili kwa uchunguzi zaidi.

Msemaji wa Hospitali ya Rufaa Morogoro amesema viongozi hao hali zao zinaendelea vizuri na wako stable.

Source: TBC

Mungu ni mwema wakati wote!
Wamehamishiwa Muhimbili wako stable.
 
Mkuu wa wilaya ya Morogoro Albert Msando na mwenzake wa Ulanga waliopata ajali leo wamehamishiwa hospitali ya taifa Muhimbili kwa uchunguzi zaidi.

Msemaji wa Hospitali ya Rufaa Morogoro amesema viongozi hao hali zao zinaendelea vizuri na wako stable.

Source: TBC

Mungu ni mwema wakati wote!
Sijawahi kuona Mtu anayesababishia Matatizo Wenzake pengine hata kupelekea Wao Kufa au Kujeruhiwa nae akaendelea kuwa na Maisha mazuri, ila ninachojua Laana na Mikosi itamuandama tu.
 
MaDC na wenzao kwenye ajali waugue pole.
=====

Huyo DC wa Ulanga mbona htajwi jina? MaDC wote walikuwa kwenye gari moja ama magari mawili tofauti!? Ajali imetokea eneo lipi, saa ngapi, kwa namna, gani, na maswali mengine kama hayo.
 
MaDC na wenzao kwenye ajali waugue pole.
=====

Huyo DC wa ulanga mbona htajwi jina? MaDC wote walikuwa kwenye gari moja ama magari mawili tofauti!? Ajali imetokea eneo lipi, saa ngapi, kwa namna, gani, na maswali mengine kama hayo.
Kosa kubwa la kuwapandisha viongozi zaidi ya mmoja kwenye gari moja. Ikitokea kama haya ndio utaelewa kwa nini viongozi hata kama wanaenda kumoja wanapanda magari yao tofauti tofauti
 
Mkuu wa wilaya ya Morogoro Albert Msando na mwenzake wa Ulanga waliopata ajali leo wamehamishiwa hospitali ya taifa Muhimbili kwa uchunguzi zaidi.

Msemaji wa Hospitali ya Rufaa Morogoro amesema viongozi hao hali zao zinaendelea vizuri na wako stable.

Dereva na Wauguzi wawili waliokuwemo kwenye gari ya DC wanaendelea vizuri.

Source: TBC

Mungu ni mwema wakati wote!
Nawatakia soon recovery wote majeruhi katika ajali ile. Pia na ile Frester ya Dar Bk iliyoacha njia Isaka na kupoteza kijana wa miaka 35. Mnyazi Mungu awaponye haraka ajali ni mbaya sana hizi zisikie tu.

Ila sasa ajali ya DC na gari yao STL na ile gari ya DFP ukiangalia kwa haraka haraka hawa madereva wa serikali na hawa wa mashirika hawa yaani njiani highway huko hawanaga refa wanajiachiaga sanaaaa. Aisee barabara hainaga mbabe.

Jamaa wanafukiaga hawanaga 50km/hr wala nini ni mserereko tu hakuna tochi yaani wanatambaa tu utafikiri wanawahi mbinguni au wanaendesha space crafts za akina Jef Bezos vile.

Ule mzinga tena wa mav8 yote niwakibabe heads on kila mtu alikua anawahi mwingine anawahi kuungana na msafara wa PM mwingine sijui wapi.

Tunawapa Onyo wajifunze ila hawatasikia.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
MaDC na wenzao kwenye ajali waugue pole.
=====

Huyo DC wa ulanga mbona htajwi jina? MaDC wote walikuwa kwenye gari moja ama magari mawili tofauti!? Ajali imetokea eneo lipi, saa ngapi, kwa namna, gani, na maswali mengine kama hayo.
Gari moja. STL yao iligongana heads on na DPF zote Vnane. Gari yao ilikua inawahi ku catch up na msafara wa waziri mkuu.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom