DC Longido akamata dola Bandia 21,550 atoa maagizo mazito kwa polisi

Jembe Jembe

JF-Expert Member
Jun 9, 2016
749
1,797
Mkuu wa wilaya ya Longido Frank Mwaisumbe ameliagiza jeshi la Polisi Wilayani humo kuwasaka na kuwakamata wahalifu wanaojihusisha na mtandao wa biashara haramu ya dola bandia na kuwatia mbaroni.

Amesema polisi wamefanikiwa kukamata dola bandia zipatazo 21,550 zikiwa nyumbani kwa mfanyabiashara (jina limehifadhiwa sawa na shilingi za kitanzania 43,000,000 .


.
IMG-20200219-WA0008.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom