Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,261
Chanzo ITV channel
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa ndio sijamuelewa, anataka watu wasiwe na chakula?!kuuza chakula kiholela jambo litakalo saidia mavuno yaliyopatikana msimu huu kutumika kwa uangalifu na kujikinga na athari za njaa zinazoweza kujitokeza kwa msimu ujao.
Hapo maana yao ni kuhifadhi chakula.Hapa ndio sijamuelewa, anataka watu wasiwe na chakula?!
Hapa naona ni kuingilia maisha binafsi. Hivi vyuo vya kilimo kwanini visiwe na maeneo ya kutosha na kulima kwa kiasi kikubwa?! Hii naona ni mojawapo ya njia ambayo ingesaidia baada ya mavuno wangeuza, sasa mtu alime we umkomalie mipango...Hapo maana yao ni kuhifadhi chakula.
Kwa mtazamo wao ni kuwa kuuza chakula kiholela au kufanya sherehe kupika chakula kingi kutasababisha kuwepo na njaa
Haya matamko hayana mshiko Kwakweli
Achukuliwe mkojo;!!Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Bw. James Ihunyo amepiga marufuku kwa mtu yeyote kufanya sherehe bila kibali kutoka kwa mtendaji wa eneo husika ikiwa pamoja na na kuuza chakula kiholela jambo litakalo saidia mavuno yaliyopatikana msimu huu kutumika kwa uangalifu na kujikinga na athari za njaa zinazoweza kujitokeza kwa msimu ujao.
Chanzo ITV channel