DC Kihongosi ambana Mbunge Gambo "usitetee hoja inayovunja sheria"

Gambo ana hoja kubwa jamaa anaishi kwa kuangalia reality , watu maskini waishi kimaskini huyu ni Genius!! ukiangalia kwa makini utaona logic ya bajaj na bodaboda kubeba watu wanne versus usalama wao!!

ameangalia watu wengi ni masikini wakichanga nauli wanapata usafiri badala ya kutembea kwa miguu umbali mrefu kupoteza muda ambao ni mali na pia vyombo vya usafiri ni vichache! watu wanne bodaboda moja na wote wavae helmet mwendo mwisho spidi 30 kwangu poa tu na barabara ziwekwe sehemu maalum ya kupita boda boda na bajajs

sisi ni maskini tuishi kimaskini

hoja yake ni sahihi for me!! for me Gambo is very creative person Mkuu wa nchi amchukue kundini!
 
Zipo pikipiki za miguu 3 zinabeba zaidi ya watatu wanunue hizo
 
Maccm kwa maccm hayana plan , sera ,dira , Ni mikurupuko tu Kama chairman wao hawajui wanakotoka wala wanakoenda .
 
Kuna Mbunge na Mkuu wa Wilaya kwenye eneo moja la Kiutawala, na wote wanalipwa Mishahara minono. Na wote wanatembelea Mashangingi kwa gharama za "Wanyonge."

Eti Mmoja ni Mtawala na mwingine ni Mwakilishi. Na Bado kuna Mkurugenzi na Katibu Tawala..

Mmoja anasema tupande Bodaboda mishkaki, hakuna haja ya kutafuta suluhu ya tatizo la Usafiri, tukipata ajali tukifa basi ni kazi ya Mungu hiyo.

Mwingine anamjibu hapana; wasipande Mishikaki.

Mmoja anatetea tumbo lake come 2025, mwingine anatetea kuongeza pato la "Serikali ya Wanyonge" kupitia faini za wapanda mishikaki, sana anatetea kuonekana na sir god. Main theme ambayo ni shida ya Usafiri, hamna anayeigusia. Haiwahusu.

Hii nchi inaudhi sana Kwa kweli.
 
Hao madereva boda wanaochezea sijui ekzost wachukuliwe hatua maana ni kero na usumbufu mkubwa kwa raia
Wanachezea exost aaaaaaammmmm😋😋😋😋😋
Dah jukwaa linarudi lini nyie mods?
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom