DC - Kasulu na RC - Kigoma hiyo fukuza fukuza ya wakulima kagera nkanda mmetumwa na nani?

Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
3,402
2,000
Wakuu Salaam kwenu.
Bila kupoteza muda hao viongozi nao wanafanya mambo Rais anayokataa kila siku , wameingia kwenye michezo michafu ya kufukuza wakulima wanyonge bila huruma wala kuwaonesha mahali pa kwenda sasa najiuliza ni nani anawatuma kufanya hayo?
 
BwanaMiti

Member
Jul 4, 2014
94
125
Wakuu Salaam kwenu.
Bila kupoteza muda hao viongozi nao wanafanya mambo Rais anayokataa kila siku , wameingia kwenye michezo michafu ya kufukuza wakulima wanyonge bila huruma wala kuwaonesha mahali pa kwenda sasa najiuliza ni nani anawatuma kufanya hayo?
Wakulima wanafukuzwa katika maeneo gani mkuu???
 
Kilangi masanja

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
2,261
2,000
Tangulini kagera nkada ikawa ardhi ya kilimo? Hujui kua mnalima kimakosa pale lile eneo limetengwa kama pori la akiba kwa nijuavyo mimi sema wakazi wa kasulu mjini ,muyovozi ,makere,na wakimbizi wa nyarugusu mwalitumia kinyume na sheria ila vijana wa 825 kj wako makini sana hapo kupokea amri za wakuu .Usithubutu kupambana nao

Sent from mTalk using microsoft lumia 950xl
 
Top Bottom