Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 37,506
- 46,038
Ni motivisheni spika mzuri
Samahani huyo antony mataka mbona mnamsifia mno...? Kip cha maana alichokifanya?
Samahani huyo antony mataka mbona mnamsifia mno...? Kip cha maana alichokifanya?
Housegirl wa nikki ndo yule anayejiita countrywide? basi si mchezo.....Siku hizi mambo bila "kick" hayaendi, hata Nikki nae ana housegirl wake huku kila siku anapambwa.
naona wanaume wa buza mmeanza kuona wivu.
Shujaa Mwendazake:Mh Jokate ndo kwanza una wiki ya kwanza kwenye wilaya hii baada ya uteuzi. Nakushauri ungeanza kujikita na kufanya assesment ya matatizo mbalimbali kwenye wilaya yako na kuyatafutia tiba. Instead umeanza na ileile tabia yako ya kujibrand ili uonekane.
Kumbuka hizi ni zama za SSH siyo za JPM. Kuna watu wanapiga kazi huko kama kina Mtaka, Kina Mtatiro na huwasikii na hizi ishu za kujitengenezea brand.
Tumesikia jana tu Mh. Rais ametuangazia kuwa kuna wagonjwa wa COVID , lakin pia tuna taarifa ya wimbi la tatu la ugonjwa huu.
Tumeona pia wizara ya afya ikianza kusisitiza hatua za kujikinga na ugonjwa huu ikiwemo mikusanyiko isiyo na lazima.
Tambua wewe ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya, ungeanzia huko kwanza kuliko kutengeza mikusanyiko isiyo ya lazima na michangomichango ya charity kwa ajili ya kugain popularity.
AWAMU HII SIYO YA MEDIA, TUPIGE KAZI NA TUONGEZE TAHADHARI DHIDI YA UVIKO-19
Huyu mweupe kichwani ni muuza sura tuMh Jokate ndo kwanza una wiki ya kwanza kwenye wilaya hii baada ya uteuzi. Nakushauri ungeanza kujikita na kufanya assesment ya matatizo mbalimbali kwenye wilaya yako na kuyatafutia tiba. Instead umeanza na ileile tabia yako ya kujibrand ili uonekane.
Kumbuka hizi ni zama za SSH siyo za JPM. Kuna watu wanapiga kazi huko kama kina Mtaka, Kina Mtatiro na huwasikii na hizi ishu za kujitengenezea brand.
Tumesikia jana tu Mh. Rais ametuangazia kuwa kuna wagonjwa wa COVID , lakin pia tuna taarifa ya wimbi la tatu la ugonjwa huu.
Tumeona pia wizara ya afya ikianza kusisitiza hatua za kujikinga na ugonjwa huu ikiwemo mikusanyiko isiyo na lazima.
Tambua wewe ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya, ungeanzia huko kwanza kuliko kutengeza mikusanyiko isiyo ya lazima na michangomichango ya charity kwa ajili ya kugain popularity.
AWAMU HII SIYO YA MEDIA, TUPIGE KAZI NA TUONGEZE TAHADHARI DHIDI YA UVIKO-19
sio lazima ukafanyie mazoezi kwenye marathon. hata hapo ulipo unaweza ukafanya mazoezi, ni suala la maamuzi tu.Mazoezi yanapunguza uwezekano wa kuteseka na hiyo corona au kuipata kabisa,acha Mhe afanye kazi
Yaani huu Uzi akiuona na huko kujicalolaiti na image za edited attaelewa asielewe huku ndo buza kwa mpalange
Sawa,ila yeye ndio ameona asocialize kupitia marathon,hakuna matata kabisasio lazima ukafanyie mazoezi kwenye marathon. hata hapo ulipo unaweza ukafanya mazoezi, ni suala la maamuzi tu.
kwangu mimi mikusanyiko ya marathon ni sehemu ya ku-socialize na kutengeneza connection. rejea matukio yaliyoripotiwa katika kilimanjaro marathon.
Akawe anahangaika na UMISETA, UMISHUMTAHivi marathon Ina msaidiaje Raia wa temeke,maana temeke inahitaji Mambo ya msingi kuliko hizo show off, au Jojo cheo Cha afisa michezo wilaya kina mfaa
Hata Mimi huwa nashangaa sana sama... sifa anaweza za bure kabisaSamahani huyo antony mataka mbona mnamsifia mno...? Kip cha maana alichokifanya?
kama kipaombele chake cha kwanza ktk majukumu yake ya u-DC ni ku-socialize na wana temeke kwa njia ya marathon, basi sawa.Sawa,ila yeye ndio ameona asocialize kupitia marathon,hakuna matata kabisa
Shida wabongo tunataka kila kiongozi afanye tunachokifikiri sisi wakati na yeye ana fikra zake kutokana na vipaumbele vyakekama kipaombele chake cha kwanza ktk majukumu yake ya u-DC ni ku-socialize na wana temeke kwa njia ya marathon, basi sawa.
Ubunifu wake woote umeishia kwenye marathoni😅😅😅Mh Jokate ndo kwanza una wiki ya kwanza kwenye wilaya hii baada ya uteuzi. Nakushauri ungeanza kujikita na kufanya assesment ya matatizo mbalimbali kwenye wilaya yako na kuyatafutia tiba. Instead umeanza na ileile tabia yako ya kujibrand ili uonekane.
Kumbuka hizi ni zama za SSH siyo za JPM. Kuna watu wanapiga kazi huko kama kina Mtaka, Kina Mtatiro na huwasikii na hizi ishu za kujitengenezea brand.
Tumesikia jana tu Mh. Rais ametuangazia kuwa kuna wagonjwa wa COVID , lakin pia tuna taarifa ya wimbi la tatu la ugonjwa huu.
Tumeona pia wizara ya afya ikianza kusisitiza hatua za kujikinga na ugonjwa huu ikiwemo mikusanyiko isiyo na lazima.
Tambua wewe ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya, ungeanzia huko kwanza kuliko kutengeza mikusanyiko isiyo ya lazima na michangomichango ya charity kwa ajili ya kugain popularity.
AWAMU HII SIYO YA MEDIA, TUPIGE KAZI NA TUONGEZE TAHADHARI DHIDI YA UVIKO-19
Huyu Mwamba mama naona anajitafutia kifo cha kisiasa. Kisarawe kafanya mamarathoni kila mwezi kahama nayo temeke. Huyu akipelekwa Newala atafanya marathiloni. Ndio uwezo wake unapoishia.kama kipaombele chake cha kwanza ktk majukumu yake ya u-DC ni ku-socialize na wana temeke kwa njia ya marathon, basi sawa.
Kama una ndugu yako kapewa uDC ama uRC mwambie akapate tuition kwa Mtaka. Huyu ndiye DC/RC bora kuwahi kutokea Tanzania.Samahani huyo antony mataka mbona mnamsifia mno...? Kip cha maana alichokifanya?