Elections 2010 DC Igunga ni mkristo mkatoliki; Kwanini hajasema kitu?

Dec

Member
Jul 13, 2011
66
26
Habari tulizo zipata kutoka kwa familia ya mzee joseph kimario(mume wa bi kimario) ambaye ni dc wa igunga mkoani tabora zimeeleza kwamba mkuu wa wilaya amebatizwa ktk kanisa katoriki mbezi beach.

Na mume wake mr joseph kimario ni mwenyekiti wa uongozi wa parokia mbezi beach. Hivyo tunawaomba bakwata wasitumie vibaya vyombo vya habari kueneza udini tanzania.

4 more information vist PAROKIA YA BIKIRA MARIA MBEZI BEACH.

Katika gazeti la Mwanahalisi toleo la juma kuanzia tarehe 28.9.2011, Saed Kubenea amefichua kuwa Fatuma Kimario anayetumiwa na CCM kwa kupata kura kwa udini huko Igunga siyo Muislam.

Kubenea amefichua kuwa Fatuma amefunga ndoa na mkirsto na wanawatoto wawili wakristo mmoja wao ni Vivian na mmoja wao anafunga ndoa ya kikristo mwezi wa kumi mwaka huu.

Habari zaidi mwanahalisi la leo.
 
Kama ni kweli basi mama alikula mlungula pamoja na mkwara, na CCM wanamtumia kama wanavyotaka. This is very sad news! kwani my signature inajieleza.
 
mkuu! hii habari nikweli? mama yangu! sasa hawa bakwata watajificha wapi? nahuyu mama sindokajishushia heshima kabisa hadi kwa ndugu zake jamani!

mama fatuma kimario umeshusha hadhi yakinamama!

nanyie bakwata acheni kutumika!
 
mmmh,mkuu mi najickia aibu mimi tena,.khaaa wataficha wapi aibu hii?
 
walah basi katughilibu, adualahu mkubwa huyu, maaluni kumbe khafir. t mwaonaje tumsomee itkhafu huyu!!!. ha ha hahaaa!! DC kazi anayo, wasipokuwa makini utatokea mgogoro mwingine wa ndoa, magamba watataka dc awe muislamu, subirini muone pilika zao na mume wa dc atakavyo react.
 
Wajameni tuwe waangalifu kwenye jambo hili. Mwislamu kuolewa na mkristo hakummfanyi mwislamu kuwa automatically mkristo kwani hata huko kanisani zipo ndoa za mchanganyiko wa dini au madhehebu. Ili tuweze kuwa na uhakika kama kweli ni mkristo tulete vithibitisho kwamba alibatizwa (mahali, na mbatizaji wake) na jina lake la ubatizo. Kwa kifupi tutafute cheti chake cha ubatizo au watu wanaomjua fika kwamba ni mkristo na jina lake linafahamika. siyo hizi ngonjera za kusema kaolewa na mkatoliki kwa hiyo naye ni mkatoliki.
 
Kama ni hivyo mama amejishushia hadhi kabisa mbele ya jamii inayomzunguka, kwanini asingetoka hadharani asema yeye si muislam, au ameambiwa asitoe siri kuwa alisha batizwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom