DC Hapi atoa zawadi za Xmass kwa watumishi wa ngazi ya chini Kinondoni

Kwa kutoa msaada mpaka na camera ziwepo? Naona unafiki tu na kutafuta sifa za kijinga, kwani haiwezekani kutoa huo msaada wa nusu ya mchele na 1litre ya mafuta kimyamya mpaka waandishi wa habari ili kuuza sura za kinamama hapo. Kiki zingine za kilofa tu.
 
Kutoa ni jambo jema,haijalishi anatoa kwa nia/malengo gani ila muhimu katoa.
Hivyo japo simkubali Hapi ila kwa hili nampongeza.
Mungu amuongee azidi kutoa zaidi In Shaa Allah.
Aamiyn
Hatupingi kutoa msaada, ni vyema lakini kuna haja gani ya kuleta mpaka waandishi wa habari na mapicha mengi, shabaha yake nini hasa!! Yaani atumie umasikin wa wengine kujipatia umaarufu na sifa zisizo na maana Zawadi yenyewe nusu kilo ya mchele na mafuta Lita 1, Kwenye maandiko sikumbuki kifunga gani, kinasema unapomtolea Mungu akikisha hata mkono wako wa kushoto usijue.
 
Kutoa ni jambo jema,haijalishi anatoa kwa nia/malengo gani ila muhimu katoa.
Hivyo japo simkubali Hapi ila kwa hili nampongeza.
Mungu amuongee azidi kutoa zaidi In Shaa Allah.
Aamiyn
Tunafanyeje sasa kwenye hii birthday ya yesu wetu? Njoo kwangu basi kwangu hamna ivo vitu alivyotoa Hapi
 
Dereva si mtumishi wa chini kabisa kwa serikalini labda asiwe na gari la kuendesha.Madereva wengi hakosi elfu kumi kila siku nje na mshahara kwa hiyo kama analipwa laki 3 ujue mwisho wa siku ana zaidi ya laki 6
 
kuna njemba kama tatu karibu na huyo askari yani body language yao zinaonekan zina hasira kukusanywa hapo na kupewa nusu kilo ya mchele mbele ya waandishi wa habari
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom