DC Hapi afungua mashindano ya klabu bingwa Taifa ya ndondi

Egnecious

JF-Expert Member
Jul 8, 2015
875
960
DC.HAPI AFUNGUA MASHINDANO YA KLABU BINGWA TAIFA YA NDONDI -

Mkuu Wa wilaya Ya Kinondoni Mheshimiwa Ally S Hapi (Mgeni Rasmi) Leo amefungua Mashindano ya Klabu Bingwa Ya Taifa ya Masumbwi Yanayofanyika Viwanja Ya Wazi Vya Tanganyika Perkas Kawe Leo.

Imeshirikisha Vilabu 18 Toka Mikoa Mbalimbali na Timu Toka Majeshi Jeshi la wananchi, Magereza, Polisi, na Vilabu Toka Mkoa wa Dar.

1476027728401.jpg
 
Back
Top Bottom