Dc handeni aipiga marufuku halmashauri kuuza maji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dc handeni aipiga marufuku halmashauri kuuza maji

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gumzo, Jul 14, 2012.

 1. G

  Gumzo JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 211
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MKUU wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga Bw. Muhingo Rweyemamu, ameipiga marufuku Halmashauri ya Wilaya hiyo kuwauzia maji wafanyabiashara wakubwa wa maji na kuongeza uhaba wa bidhaa hiyo kwa wananchi wa kawaida katika mji wa Handeni.

  Mkuu huyo wa wilaya amesema kuwa wafanyabiashara hao ambao wanauziwa maji kwa bei ya shilingi 18,000 kwa boza lente ujazo wa zaidi ya lita 12,000 sawa na ndoo 600 na huwalangua wananchi kwa kuwauzia maji hayohayo kwa bei ya shilingi kati ya 300 na 500 kwa ndoo moja.

  Bw. Muhingo amesema kuwa wafanyabiashara hao kwa kutumia magari hayo yenye maboza wamekuwa wakijipatia faida kubwa ya kati ya shilingi 180,000 na 300,000 kwa kila gari moja lenye boza la ujazo huo wa lita 12,000.

  Hata hivyo Bw. Mhingo amesema kuwa hatua ya wafanyabiashara hao kupeleka magari yao hadi kwenye bwawa hilo kumekuwa kukiongeza uharibifu wa mazingira kwenye chanzo hicho cha maji wilayani Handeni.

  Bw. Muhingo amesema amebaini kuwa, uhaba wa maji unaotangazwa kuwepo wilayani humo kwa muda mrefu sasa ni wa bandia na kwamba bwawa lililopo mjini Handeni likihudumiwa vizuri maji yake yanaweza kutosheleza kwa msimu wa mwaka mzima bila ya kuwepo kwa shida ya maji katika mji huo.

  Amesema pamoja na uchakavu wa miundombinu ya maji kati mji huo, lakini maji ya bwawa hilo yanaweza kuwafikia wananchi katika maeneo mbalimbali ya mji huo tofauti na inavyoelezwa na waliowengi kuwa Handeni kuna shida kubwa ya maji.

  Mkuu huyo wa wilaya ya handeni amesema kuwa ingawa mashine ya maji iliyopo katika Bwawa hilo ina uwezo wa kufanya kazi kwa muda wa saa 22 kwa kila siku kwa kusukuma lita 45,000 za maji kwa saa moja, lakini amesema katika hali ya kushangaza, maji hayo yalikuwa yakielekezwa katika maeneo ya visiwa vya wafanyabiashara wakubwa huku wananchi waliowengi wa mji huo wakikosa maji kwa muda mrefu ama kuyanunua maji hayo kwa bei ya juu kutoka kwa wafanyabiashara hao.

  Amesema baada ya kubaini hivyo, Mkuu huyo wa wilaya alitoa maelekezo kwa wafanyakazi wa Idara ya maji kuhakikisha kuwa wanasambaza maji kwa watu wote na katika mabomba ya umma ili yaweze kuwanufaisha wakazi wote wa mji huon a vitongoji vyake.

  Bw. Muhingo amesema ili kukomesha kabisa tatizo la maji wilayani humo, ofisi yake inaangalia uwezekano wa kuchimba mabwawa katika maeneo mbalimbali yakiwemo yale ya vijiji ambayo yana uhitaji mkubwa wa maji kwa wananchi pamoja na mifugo yao.MKUU wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga Bw. Muhingo Rweyemamu, ameipiga marufuku Halmashauri ya Wilaya hiyo kuwauzia maji wafanyabiashara wakubwa wa maji na kuongeza uhaba wa bidhaa hiyo kwa wananchi wa kawaida katika mji wa Handeni.

  Bw. Muhingo amesema ili kukomesha kabisa tatizo la maji wilayani humo, ofisi yake inaangalia uwezekano wa kuchimba mabwawa katika maeneo mbalimbali yakiwemo yale ya vijiji ambayo yana uhitaji mkubwa wa maji kwa wananchi pamoja na mifugo yao.

  KWA HABARI KAMILI BOFYA HAPA GUMZO LA JIJI: DC HANDENI AIPIGA MARUFUKU HALMASHAURI KUUZA MAJI
   
 2. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  jiji tatizo ni muda ulioanzisha thread inabidi uiedit imejirudia rudia sana
   
 3. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Abdalla Kigoda amekuwa mbunge wa Handeni kwa muda mrefu sana na zaidi ya hayo kati ya muda aliokuwa mbunge amekuwa pia waziri; inakuwaje juu ya huo muda na wadhifa alioupata ameshindwa kuwaletea wananchi wake maji ya uhakika na salama? Maendeleo gani waliopata wananchi wa Handeni kama mpaka leo wananyonywa na hao wafanya biashara wa maji wanaoyauza kwa magari? Unless Kigoda nae anafanya biashara hiyo, kwani viongozi wa ccm ni wabinafsi sana na mafisadi ndio maana anawaachia wananchi wanyonywe!!
   
Loading...