DC Betty Mkwassa (CCM) amewaagiza wanawake kuwanyima unyumba Waune zao!!!!!

ymtanga.blogspot.com






Edward Ngoyai Lowass
Huyu mama ameishazoea kubadilisha wanaume kila siku ndio maana anaona ni kitu cha kawaida anaonyesha waziwaz tabia mbaya alizomfanyia mme wake by the way cheo cha UDC ni cha kufuta kwenye katiba mpya hawana kazi kazi zao ni hizo majungu na ushabiki wa siasa ni vyeo vilivyowekwa kuwapa ulaji makada wa chama tawala
 
Betty amewambia akina mama wa kijiji cha Tinai Tarafa ya Mundemu Bahi kuwa wanatakiwa kuwanyima unyumba waume zao kama njia moja wapo ya uzazi wa mpango .

Hata hivyo njia hiyo inapingwa vikali na wizara ya afya.

Source: mwananchi pg 18
Mambo gani tena haya wajameni? miaka hii ya mwisho ya ccm tutakoma! hawa wehu huwa wanawatoa wapi? namkumbuka Sofia Simba aliwahi kutoa wazo hilo na likatutesa kidogo, ila tukajua ni upuuzi kumweka Mwenyekiti wa Wanawake ambaye hana ndoa kuongoza wanawake wenye ndoa! Huwa vinatumika vigezo gani kuchagua hawa watu?
 
Back
Top Bottom