DC Betty Mkwassa (CCM) amewaagiza wanawake kuwanyima unyumba Waune zao!!!!!

Mwamakula

JF-Expert Member
Nov 7, 2010
1,890
382
Betty amewambia akina mama wa kijiji cha Tinai Tarafa ya Mundemu Bahi kuwa wanatakiwa kuwanyima unyumba waume zao kama njia moja wapo ya uzazi wa mpango .

Hata hivyo njia hiyo inapingwa vikali na wizara ya afya.

Source: mwananchi pg 18
 
Wakiwanyima mwisho wake ni upi? Waende nje? Uko Bahi, Mkwasa yupo Dar!!Tafakari Betty chukua hatua!!!
 
Betty amewambia akina mama wa kijiji cha Tinai Tarafa ya Mundemu Bahi kuwa wanatakiwa kuwanyima unyumba waume zao kama njia moja wapo ya uzazi wa mpango .

Hata hivyo njia hiyo inapingwa vikali na wizara ya afya.

Source: mwananchi pg 18

Huyu mwanamke sijui alipewa hiyo nafasi kwa kuangalia vigezo gani. Hivi majuzi aliamuru diwani awekwe rumande kwa kuchelewa kwenye kikao;

DC amsweka rumande diwani

Chanzo: DC amsweka rumande diwani
 
Ndio viongozi wetu hao, ila atambue kuwanyima tu haisadii kwani wapo wengi tu nje waosubiria kuingia ndani ya hiyo ajira, awashauri kutumia njia nyingine kwani zipo nyingi tu kama vile za asili. Je na wanaume wakigoma itakuwajeeeeee!!!!!!!!!
 
Yeye si ameachika??hajui umuhimu wa ndoa, anawadanganya wenzake..Chezea ndoa wewe!!!
 
Betty amewambia akina mama wa kijiji cha Tinai Tarafa ya Mundemu Bahi kuwa wanatakiwa kuwanyima unyumba waume zao kama njia moja wapo ya uzazi wa mpango .

Hata hivyo njia hiyo inapingwa vikali na wizara ya afya.

Source: mwananchi pg 18
ymtanga.blogspot.com

Edward Ngoyai Lowass
 
kwa hiyo amepata u dc baada ya kutembeza u.c.h.i wake kwa huyu? Ndiyo maana yule kocha wa twiga stars ameammua kuishi kivyake
sera ya kunyima mume unyumba ni sera ya ccm kwani hata sofia simba aliwambia uwt kuwa kama waume zenu hawapigii kura ccm wanyime unyumba !!!! Baadaye akanukuliwa na gazeti la raia mwema yeye mwentewe akaseme alikuwa nyumba ndogo ya kitwana kondo. Wakati huo huo mtoto wa sophia simba aliye mzaa katika harakati hizo aliruka geti la shule y loleza mbeya na kwenda kufanya ukahaba , mkuu wa shule alipo mufukuza shule , sophia simba akamusjinikiza waziri elimu kipindi hicho jumanne magembe
 
Huyu mama ni shangingi. Anatangaza kuhalalisha ufuska. Mtanfazaji na UDC wapi na wapi
 
Betty amewambia akina mama wa kijiji cha Tinai Tarafa ya Mundemu Bahi kuwa wanatakiwa kuwanyima unyumba waume zao kama njia moja wapo ya uzazi wa mpango .

Hata hivyo njia hiyo inapingwa vikali na wizara ya afya.

Source: mwananchi pg 18

Aaaahhhhhhhhhhhhhh!!!!!

My Wife akininyima UNYUMBA nahamia kwa RC BETTY MKWASSA, ajiandae kunipa yeye kwani ni haki yangu!!!!!

Anafanya masihala huyu kama ameishiwa na sera si anyamaze tu, kwani amelazimishwa kuongea na kutoa PUMBA hizo.

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Back
Top Bottom