John Walter
Member
- Aug 14, 2017
- 64
- 62
Na John Walter-Babati
Katika jitihada za serikali kuendelea kumaliza wimbi la vijana wenye ukosefu wa ajira,Mkuu wa wilaya ya Babati Elizabeth Kitundu amekabidhi piki piki 11 kwa vijana 11 ikiwa ni mkopo wa masharti nafuu kutoka Mabadiliko Saccos ili kuwasaidia kuwanua kiuchumi ambapo kila siku atahitajika kurejesha shilingi 7,500.