DC Ally Hapi: Uwanja wa Fisi kubadilishwa na kujengwa shopping malls

Kama mtu amesema atawafidia Maana Yake atawalipa. Mtu kama alipa thamani vitu au Mali yako Unataka akupeleke wapi? Na ameshakulipa.
 
Nimemuona DC Hapi katika maadhimisho ya asasi ya Patrice Lumumba.

Kuna maelezo aliyoyatoa kuhusu maisha ya watu wanaoishi maeneo ya uwanja wa fisi.

Amesisitiza kuwa yeye hataamuru polisi kupita nyumba kwa nyumba ili kuwakamata wanaoishi huko ambao wanajihusisha na uchangudoa kwenye madanguro.

Ameenda mbali na kusema kuwa anafikiria kulibadilisha eneo hili na kulifanya eneo la uwekezaji kwa kujenga shopping malls na vitu vya namna hiyo.

Ingawa hakugusia ni wapi wakazi hao watapelekwa lakini aliahidi kuwafidia.

Source ni channel ten jioni hii

My take:

Ana wazo zuri sana la kitaka kulibadili eneo hili la uwanja wa fisi lakini nina wasiwasi na kauli yake hii na dhamira yake kama sio ya kutaka kumnanga mkuu wa mkoa hasa hasa katika kipindi hiki tunachoshuhidia mvutano wa ndani ya mtandao.

Naamini haya aliyoyasema ni jibu kwa ile thread iliyoliliwa kumpa ban Lizaboni
Makonda hakubaliki hata kwa wana ccm wenzake
 
Hawa vijana wa CCM Magufuli awaangali sana, hawapo kwa maslai ya nchi zaidi ya matumbo yao.!

Ni utovu wa nidhamu DC kupinga agizo la RC hata kama linamakosa....ana namna nyingi za kuwasiliana Na boss wake....DC akumbuke alikula kiapo kwa RC.
Wacha watowane macho,sisi wenye jiji tumekaa pembeni tuna kula upepo
 
Hapi yupo Smart sana kuliko uyo mwingine anae kesha motandaoni kuwapost kina Zari na Diamond
 
Mwishowe wote watatimuliwa na hiyo itakuwa ni darasa tosha kwa wengine wanaopewa mamlaka na kuanza kufitiniana badala ya kuhudumia umma
Mimi naona Hapi anatumia sana nafasi yake kutaka kuhudumia jamii kuliko makonda anayetaka kujijenga kwa wateuzi wake
 
Mkubwa naona unajilazimisha kusahau,huo ndiyo mfumo wa uendeshaji wa serikali ya awamu ya 5,katika awamu hii hakuna kiongozi hata mmoja anayejipa muda wa kutafakari kabla ya kuitoa kauli yake mbele ya Umma,wote ni wakurupukaji tu.Unajuwa kuwa hata wale waliotumbuliwa kwa mbwembwe mbele ya makamera wengi wao wamerudishwa katika utumishi wao kimya kimya?

Pamoja na nia njema ya serikali hii,lakini imejidhihirisha kuwa na nakisi kubwa sana ya hekima na busara,ikiirekebisha kasoro hiyo inaweza kuwa serikali nzuri sana,lakini ikiendelea na mwenendo huu wa "kutekwa na hadhira", inaweza kujikuta inalaumiwa kila kona.
Itajirekebishaje wakati yenyewe ndiyo chanzo?
 
Rc na makuwadi wakejueni kuwa kiuwezo RC wenu hampati hata robo Ali hapi na inaonekana hapi ni tishio ndio maana mnahangaika kumfitini lakini haki na ukweli utadhihirika daima. fanyeni kazi acheni ukuwadi na kukurupuka na matamshi ya hovyo. na yote hayo yalitokea baada ya hapi kuonekana ana ushawishi hata na ukaribu na ukawa ktk kuleta maendeleo kinondoni
 
Kutumbuliwa JF kuna kimbiza mtu kuongea chochote ili asikatwe...hizo mall atazijenga lini eeeeh

Ana michoro yoyote sasa hivi...kashakaa mezani lini kuyaongelea na wengine eee

Kazi ipo, ooooooooo analo kujigonga sasa ajifanye sio mkaa kwenye mitandao sana eti kujenga nini tangu lini kapanga kituko....kweli kuchemshwa haswa kutamu
 
Back
Top Bottom