Daz Baba siku hizi anakunywa Sana Pombe, kaisha kweli

Hili sio tatizo kwa wasanii tu, kuanzia uswahili mpaka huko kwa washua. Vijana, watu wazima, wanaume kwa wanawake washaharibikiwa kwa pombe na dawa za kulevya. Kama unaishi mjini sijui kama unahitaji darubini kuliona hili.
 
Two weeks ago nilikuwa Chuo cha Mwalimu Nyerere kulikuwa na Event ya vipaji na ndipo nilikutana na Daz Baba Aisee huyu Jamaa amechoka Sana nadhani Pombe ndo zimemmaliza.

Kiufupi wasanii Kama hawa Kina Daz-Baba Walioimba nyimbo nzuri za kuhelimisha jamii wanabidi wakumbukwe na kusaidiwa.

Daz Baba A.k.A Daz Mwalimu punguza Pombe.

Pia huyu Daz Baba Nilikutana naye 2019 Tabata Kimanga kwao ukweli Bado hali yake sio nzuri kiukweli.


Ukishakuwa msanii wa muziki hususan bongo fleva automatic unakuwa teja wa haya mavitu Pombe Unga Sigara Bange Kuber na vingne vng
Sual hapo ni ww tu kuamua kutoshiriki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom